Sasa ni zamu ya Bashe kukatwa!

kanganyoro

Senior Member
Jun 22, 2011
127
33
Baada ya Mtia nia Lowasa kukatwa katika harakati zake za kugombea urais wa JMT sasa ni zamu ya wapambe wake wakubwa kukatwa na hasa Hussein Bashe ambaye inasemekana atagombea jimbo mojawapo Mkoani Tabora!
 
Atagombea kwa tiketi ya Cdm. Ukawa wana kiti kimoja tayari pale Nzega.
 
tena huyu jamaa namwonea huruma sana kwani waliemkata boss wake wapo mpaka magufuli akiingia ikulu ndo mwenyekiti anachaguliwa mwingine
 
Kwa sasa nafasi ya rushwa katika uchaguzi ndani ya CCM itakuwa finyu. So Wasomali kwa Mkoa wa Tabora imekula kwao. Bila kumkata Bashe Lowasa ataisumbua Serikali.
 
Hakuna mwenye huo ubavu, mtandao wa Lowassa ni mkubwa kuliko wa JK. Hata hivyo kwa sasa ndio tunafanya kazi maradufu zaidi ili kuwatia watu wetu kwenye system. Mapambano bado yanaendelea!
 
Kama Lowassa siyo mtu wa kinyongo tutamwona Nape akiendelea kupeta!
 
Wasomali Tabora hawatakiwi tena waende wakagombee mogadishu

STOP That DISCRIMINATION... Don't play around with FREEDOM a lot of PEOPLE SACRIFICE...

Wewe shukuru Mungu... kuna kisiwa kinaitwa HAITI kina POP. of less than 2M; lakini a person from TOWN A and TOWN B they don't cook on the same port... hence everyday is KILLING the country is one of the poorest than TZ..
 
kama walishindwa kumlinda membe nec taifa ndo watawezaje kumkata bashe nec mkoa...akina jk ndo mwisho wao ulikuwa kwenye kukata jina kamati ya maadili taifa huku kwengine jk,mkapa na wazee wake watu hata hawawajui mkuu. nawasiwasi wembe uleule wa nec taifa ndo mpaka nec shinani

tena huyu jamaa namwonea huruma sana kwani waliemkata boss wake wapo mpaka magufuli akiingia ikulu ndo mwenyekiti anachaguliwa mwingine
 
Hakuna mwenye huo ubavu, mtandao wa Lowassa ni mkubwa kuliko wa JK. Hata hivyo kwa sasa ndio tunafanya kazi maradufu zaidi ili kuwatia watu wetu kwenye system. Mapambano bado yanaendelea!
Chama kitaanza na wenyeviti 'waasi'
 
Baada ya Mtia nia Lowasa kukatwa katika harakati zake za kugombea urais wa JMT sasa ni zamu ya wapambe wake wakubwa kukatwa na hasa Hussein Bashe ambaye inasemekana atagombea jimbo mojawapo Mkoani Tabora!

Kwani Vyama viko ngapi ?

Safari hii kwa taarifa yenu CCM muwe makani. Kilichowakuta mwaka 1995 Karatu mwaka huu pengine 50% ya majimbo yenu yatadondokea kwenye hali hiyo.
 
Back
Top Bottom