Search results

  1. J

    Hongera Dkt. Charles Msonde, mbinu ulizotumia katika mitihani hii ya darasa la 7 ni zaidi ya TISS

    Kama hujui taratibu za UENDESHAJI MITIHANI kaa kimya unatafuta heshima kwa nguvu kumbe unapata dharau kwa Bei rahisi HAKUNA UTARATIBU wa mtahiniwa kutoka ndani ya CHUMBA Cha mtihani kabla ya nusu saa kupita na hataruhusiwa mtahiniwa kuingia ndani ya CHUMBA Cha mtihani baada ya nusu saa kupita...
  2. J

    Hongera Ummy Mwalimu kwa Utendaji kazi wako usikivu wako

    Nianze kwa kukusalimu kwa salamu nzuri inayohamasisha ufanyaji kazi katika hali na juhudi kubwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Siandiki bandiko hili nikitarajia ujira wowote katika kuandika haya na wala siandiki hili kwa kuwa tunatokea Tanga tena mwahako bali naandika kama raia mwema...
  3. J

    Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

    Maeneo ya Goba sehemu GANI na aliyefariki amejulikana kwa jina gani mlioshuhudia
  4. J

    Mabadiliko tuliyoyataka

    Nawasalimu ndugu zangu watanzania bila kujali itikadi za vyama vilivyopo nchini kwetu nikubali pia mie ni miongoni mwa watanzania wengi tunaokubaliana na dhana nzima ya mabadiliko yawe binafsi au nchi kwa ujumla na bila hiyana nikubaliane pia na mabadiliko hasa yanayoendelea kuonekana nchini...
  5. J

    NINAUZA KIWANJA MBEZI YA MSAKUZI

    Habar za muda wadau Ninauza Kiwanja changu kilichopo mbezi Msakuzi NJIA ya kuelekea mpigi magohe Kiwanja kina barabara kuna Maji ya chumvi Kiwanja Jirani nguzo ya Umeme IPO Kiwanja cha pili miundombinu yote IPO vizur kina uukubwa wa 16 m @26m bei ni tsh million 3.5 maongezi yapo Karibuni sana...
  6. J

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Hatuna muda wa kutumika na watu wasiyoitakia mema NCHI yetu kwa kuwa hawana sababu na hata kama zipo hazina maana na katika NCHI ambayo tunapambana kupiga hatua za maendeleo ni wazi wasiyotaka hili ni wengi na kamwe hawatafanikiwa nipo upande wa wapenda ambani na kamwe sitaruhusu mbegu...
  7. J

    Biashara ya mbuzi

    Habar za muda wadau wa jamii forum heri ya mapumziko ya jumapili na Siku ya ibada pia Nimejitokeza kwa mara nyingne tena kuuliza kwenu wadau ambao mshewahi kufanya Biashara hii ya mbuzi kwa DSM na hii inafuatia kufanya utafiti maeneo niliyopo na kukutana na maswali ambayo naomba msaada kwenu na...
  8. J

    Biashara ya mbuzi

    Nashukuru kwa mtazamo wako ni kweli nipo DSM na nilichotaka ni kulinganisha bei KUHUSU uvivu bado naheshimu ulichokitafakar ila Mimi naheshimu nguvu ya mitandao kwa sababu mitandao hii imetuwezesha kufikisha mawazo yetu mahali ambapo tusingeweza kufika kwa miguu yetu asante sana ndugu kama...
  9. J

    Biashara ya mbuzi

    Yaani ndugu yangu kuniambia tu meatu kuna mbuzi na bei ni kiasi hiki ulikuwa inatosha suala la kwamba nitakutumia pesa ili uninunulie sidhani kama ni wazo kwa mfanyabiashara na mtafiti kwangu Mimi ni muhumi kufika na kujionea hali halisi huku nikijufunza asante kwa ushirikiano
  10. J

    Biashara ya mbuzi

    Ndugu zanguni nashukuru kwa ushirikiano naomba tushirikane zaidi naomba niulize tena maswali na hii ni baada ya kufanya utafiti Leo nakukutana na mchoma nyama ya mbuzi naomba kusaidiwa yafuatayo -Mbuzi dume mkubwa kwa mliiofika mnadani anauzwaje? -Je kuna tofauti kati ya mbuzi wa nyama ya...
  11. J

    Biashara ya mbuzi

    Habari za muda huu samahani wadau naomba kwa anayefahamu anisaidie taarifa zifuatazo ili kupambana na hali ya maisha badala ya kulalamika Napenda kujua -upatikanaji wa mbuzi hasa mikoani yaani mkoa gani una mbuzi wengi na bei za huko -usafirishaji wake -masoko yake kwa Dar es salam Mimi Niko...
  12. J

    Naweka kiwanja changu rehani kwa mkopo wa milioni 1.5

    Ndugu zangu wanaJF nimelazimika kukiweka kiwanja changu rehani kilichopo maeneo ya Mbezi ya Msakuzi kwa makubaliano ya kurejesha pesa hiyo. Nina shida ya haraka nawaomba sana anayeijua taasisi au watu binafsi wanaokopesha mnisaidie mbali na benki. Kwa yeyote aliye tayari nitafute kwa namba hii...
  13. J

    Rais Magufuli akutana na mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, apiga marufuku michango ya aina yoyote shuleni

    Kiukweli agizo hilo limekuja ktk wakati muafaka na hili linadhihirisha wazi kuwa serkali inafanyia kazi maoni ya wananchi lakini nikiri wazi lipo tatizo la msingi na mapungufu mengi ktk utekelezwaji Wa Elimu bure bila malipo hivyo ni vizur serikali ikafanya tathimin ya kina juu ya utekelezwaji...
  14. J

    Nahitaji Mbao za kufunika vyumba viwili kwa MTU aliyeezeka akabakiza nimrudishie nusu hasara

    Ndugu zangu nyote mlionipatia ushirikiano mkubwa nilipouliza jambo langu nawashukuru sana leo nilienda kufanya survey nimeanzia ubungo,stop over na baadae kimara suka ni kweli kuna vitu asset zote MUHIMU hasa grill na bei zake ni nzur nawashukuru tuendelee kusaidiana maana mitandao imetuwezesha...
  15. J

    Naomba msaada wa mchanganuo wa kuezeka vyumba viwili

    Hakika nimeiona faida ya kuwa ktk jamii forum nimepata msaada mkubwa na bado naombeni ushauri zaidi Naombeni mnisaidie mchanganuo Wa kuezeka vyumba viwili idadi ya Mbao 2@2 ni ngapi 4@2 ni ngapi Natumia zile za futi 12 Bati ngapi( natumia za futi 10) Misumali kiasi gani kenchi na Batu...
  16. J

    Nahitaji Mbao za kufunika vyumba viwili kwa MTU aliyeezeka akabakiza nimrudishie nusu hasara

    Ndg n ndg asante kwa taarifa naomba unitumie Namba yako ili kesho nikutafute
  17. J

    Nahitaji Mbao za kufunika vyumba viwili kwa MTU aliyeezeka akabakiza nimrudishie nusu hasara

    Habar zenu wadau naomba kwa mdau aliye na Mbao ambazo alitumia Kuezeka zikabaki nahitaji Mbao arobaini kwa yeyote aliye nazo anitafute kwa Namba hizi 0755156747 ninaishi Goba
  18. J

    Makamba: Mwinyi na Kikwete ni wastaarabu; Anayeruhusiwa kuita watu wapumbavu ni Mkapa peke yake

    Mshamba wew masuala ya udino yanaingiaje hapa suala la MTU kuwa na muamko Wa kuchangia au kutoa mada pia linatokana na uwezo was kuchanganua mambo na Elimu kiasi kama Hays hayapo unalazimishaje watu wajitokeze ktk mitandao hata hivyo humu hakuna aliyelazimishwa nikufahamishe tu uzuri Wa kitabu...
Back
Top Bottom