Search results

  1. Mwakamajoka

    Shambulizi la kemikali linaweza kutekelezwa nchini Siria ndani ya siku mbili.

    "Wataalamu wa kigeni wamewasili nchini Siria kwa kutekeleza shambulizi la kemikali kwa kutumia Chlorine", Wizara ya ulinzi ya Urusi. Wizara hiyo imetahadharisha kwamba shambulizi hilo linaweza kufanyika ndani ya siku mbili. Msemaji wa Wizara ya ulinzi ya Urusi Meja Jenero Igor Konashenkov...
  2. Mwakamajoka

    Magaidi wanandaa shambulizi la kemikali 'kuitiadoa Damascus' kuhalalisha mashambulizi ya anga kutoka kwa Marekani.

    Marekani na washirika wake wanaandaa mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Siria, Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema. Wizara hiyo ya Urusi imesema wanamgambo wapotiari kwa shambulizi hilo la kemikali lengo ni kuichafua serikali ya Siria na kuwa sababu ya Marekani kufanya mashambulizi ya anga...
  3. Mwakamajoka

    MWAMBA WA MASHARIKI (EASTERN BLOCK ) VS MWAMBA WA MAGHALIBI(WESTERN BLOCK).

    Urusi, China, Korea Kaskazini, Beralus, Kazakistan, Mongolia, Vietnam, Laos, Cambodia, India, Philippines, Myanmar(Burma), Turkey, Crimea, Syria, Qatar, Pakistan (Uwezekano mkubwa wa kuwa chanzo cha Taliban group through the power of Pakistan Military Intelligence =Inter Service Intelligence)...
  4. Mwakamajoka

    KIM JONG UN "JUU", HASSAN ROUHAN "CHINI".

    Utawala wa serikali ya Irani umekuwa ni moja ya tawala ambayo inaandamwa kila kukicha na Marekani na mshirika wake wa karibu kabisa pale mashariki ya kati(Israeli). Kipindi cha utawala wa Barack Obama aliyekabidhi kijiti cha uongozi kwa raisi wa sasa wa Marekani(Donald Trump) palitokea mzozo...
  5. Mwakamajoka

    TRUMP’S CIA CHIEF IN SECRET MEETING WITH NORTH KOREAN LEADER

    Trump's CIA chief in secret meeting with North Korean leader: U.S....
  6. Mwakamajoka

    Umoja wa Ulaya unahitaji "Steel Tanks na siyo Think Tank" kuwadhibiti ISIS na URUSI.

    Hatari ya Urusi inaweza isiwe ajenda muhimu kwenye Mkutano wa Usalama wa Munich mwaka huu, lakini hiyo haikuwasababu inayoweza kumzuia Waziri Mkuu wa Poland Mheshimiwa Mateusz Morawieck kutema cheche zake, akisema kwamba Ulaya inahitaji VIFARU na sio wataalamu wa uchambuzi wa mambo ya Kisiasa na...
  7. Mwakamajoka

    China's 'One Belt, One Road is threat to US in Latin America - US Commander.

    "Maamuzi ya Beijing kutanua wigo wa malengo yake ya mpango wa kibiashara utakaoghalimu kiasi kikubwa cha pesa (Multitrillion Dollar Trade Initiative to Latin America) unasababishwa usalama wa Taifa kubwa la Marekani kuwa hatarini", Kurt Tidd(Chief of the US Southern Command/SouthCom)...
  8. Mwakamajoka

    URUSI:Imefanikiwa kurusha ROCKET(Soyuz Rocket) baada ya changamoto dakika ya mwisho.

    Soyuz Rocket ya urusi ikiwa na mzigo wa tani 3 na vitu vingine muhimu(supplies) kwa ajiri ya kituo cha anga cha kimataifa imefanikiwa kuruka baada ya changamoto zilizotokea siku ya J'3. Ratiba ya kuruka kwa chombo cha anga za mbali(Progress-MS08 Cargo Spacecraft) ilihairishwa mpaka J'4. Sababu...
  9. Mwakamajoka

    Iranian commander: We could ‘destroy all US bases in region & create hell for Zionist regime’

    Tehran(Irani) wamesema malalamiko ya Tel Aviv(Israeli) kuhusu Unmanned Aerial Vehicle(UAV)/Drone ya Irani kuangushwa na ndege ya Taifa la Israeli ni jambo ambalo ni upuuzi(illogical). Kamanda wa Irani emeonya kwamba watairuhusu/kuifungulia JEHANAMU kwenye ngome ya Kizayuni na kuharibu vituo...
  10. Mwakamajoka

    THEY ARE COMING AFTER US:Maxine Waters(Democratic Congresswoman) says Russia, China & North Korea ganging up on USA.

    Maxine Waters(Democratic Congresswoman) alitumia muda mrefu kuongea kwa jaziba/kulalamika kwamba Urusi anamtumia China na Korea Kaskazini kuunda ushirika dhidi ya taifa la Marekani. Na vilevile akasema RT walihusika kwenye kudukua moja ya hotuba zake. Maxine Waters ameeleza imani yake dhidi...
  11. Mwakamajoka

    Jacob Zuma(Afrika Kusini): Chama tawala(ANC) na upinzani hawana imani naye

    Maelezo/Mazungumzo ya kina hayajawekwa wazi lakini viongozi wa Chama wanakutana kwenye kikao cha dhalura leo Jumatatu. Mr. Zuma ambaye anakabiliwa na tuhuma za rushwa, nafasi yake ya kukiongoza Chama cha ANC ilichukuliwa na Cyrill Ramaphosa (12/2017). Wachambuzi wanasema viongozi wa Chama...
  12. Mwakamajoka

    CIA boss(Mike Pompeo): Russia, North Korea, China & Trump

    CIA Chief(Mike Pompeo) amekieleza chombo cha habari cha BBC kwamba hakujaonekana kupungua kwa majaribio ya Urusi kwenye swala zima la kubuguzi/kudhohofisha Nguvu na Mamlaka za Mataifa ya Ulaya na Marekani. Mr. Mike Pompeo amesema Korea Kaskazini anaweza kuwa na uwezo wa kuishambulia Marekani...
  13. Mwakamajoka

    NORTH KOREA(Kim Jong Un): Bilionea George Soros amuonya Donald Trump

    Bilionea George Soros, amesema utawala wa Donald Trump ni hatari Duniani, kwa kuzingatia upinzani aliojitengenezea utamfanya kuwa kiongozi wa muda mfupi sana na anaweza kupata wakati mgumu mwaka 2020 au mapema zaidi kabla ya mwaka 2020. George Soros ambaye ni mkuu/mkurungenzi wa Soros Fund...
  14. Mwakamajoka

    PANGA PANGUA ISRAEL (WAYAHUDI) WANAMAJIBU YOTE YANAYOHITAJIKA NA DUNIA:

    Ndugu, Jamaa na Rafiki kwenye uzi huu funguka kwa namna zote uwezavyo, dondosha mawazo yako yote, fungua akili na ufahamu wako wote ili kila mtu anayejua ajue asichojua. MADA KUU : Vita kuu ya kwanza ya Dunia lengo kuu ni Ottoman Empire, Ottoman Empire ili adhibitiwe lazima washirika wake wa...
  15. Mwakamajoka

    NORTH KOREA:YALIYOJIRI GENEVA-SWITZERLAND:

    Mjumbe/Mwakilishi wa Taifa la Korea Kaskazini amewaeleza wajumbe kwenye mkutano uliojikita kwenye sakata la kupunguza matumizi/uendelezaji wa silaha hatari za Kivita(Disarmament). Mkutano huo umefanyika Geneva-Switzerland, mjumbe kutoka Korea Kaskazini ameionya Marekani kuhusu mikakati yake...
  16. Mwakamajoka

    KURDISTAN STATE:UTURUKI, SIRIA, IRAKI,IRANI NA ARMENIA HATARINI.

    Takribani ya Wakurdi 25 - 35 milioni wanaishi katika milima ianayopatikana katika mipaka ya nchi tano :- Uturuki, Siria, Iraki, Irani na Armenia. Wakurdi ni jamii ya nne kwa ukubwa katika eneo la mashariki ya kati lakini hawajawahi kuwa na taifa huru. Wakurdi ni watu wenye asili kutoka maeneo...
  17. Mwakamajoka

    New California: Wanataka uhuru kutoka jimbo la California

    New California wanamatumaini ya kujiondo ndani ya utawala wa jimbo la California. Sababu kubwa inayopelekea kutaka kujitenga ni uwepo wa kodi kubwa,uduni wa huduma za kijamii na kutofurahishwa na mwenendo wa jimbo la California. Viongozi wa kikundi cha New California wametoa tamko la kutaka...
  18. Mwakamajoka

    QUEEN ASSASSINATION ATTEMPT 'COVERED UP' BY NEW ZEALAND FEARING ROYALS WOULD NEVER VISIT AGAIN.

    Kijana mwenye umri wa miaka 17 kwa kipindi hicho,aliyefahamika kwa jina la Christopher Jonh Lewis alituhumiwa kwa kumshambulia Queen Elizabeth ambaye alikuwa ziarani katika nchi ya New Zealand. Kijana huyu (Christopher John Lewis) alihukumiwa na kufungwa, maamuzi haya yalisababishwa na hofu kuu...
  19. Mwakamajoka

    Ukishangaa ya Trump utayaona ya Vladimir Putin

    Kabla hatujasahau tukumbushane kitu muhimu ambacho kimepelekea au kunishawishi kuandika uzi huu. Katika ulimwengu huu wa sasa na kwa mda mrefu Marekani ndiye taifa kubwa na lenye nguvu katika nyanja mbali mbali kwa mfano kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Marekani pia amekuwa mstari wa mbele kama...
  20. Mwakamajoka

    Urusi anavyoutikisa umoja wa ulaya gesi asilia(natural gas)

    Kutoka Vyborg - Urusi kuelekea Lubmin-Greifswald-German hapa nazungumzia NORD STREAM(1&2) NORD STREAM(1&2) ni bomba pacha la gesi asilia ambalo limetambaa ndani ya bahari ya Baltic (Baltic Sea) lenye urefu wa kilomita 1222. Bomba hili linamilikiwa na utendaji kazi wake upo chini ya Nord...
Back
Top Bottom