Search results

  1. Lukataluko

    Umefikia wapi mchakato uanzishwaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Uyole?

    Habari za majukumu wakuu, Naomba kuuliza ule mchakato uliokuwa umeanzishwa mwaka 2021 wa uanzishwaji wa halmashauri mpya ya Uyole, uliishia kwenye hatua ipi? Kwa mwenye details zozote hapa jukwaani anijuze tafadhari.
  2. Lukataluko

    Qatar world football finale/finalists: religion concepts revealed?

    Ungeshea na sisi huo ushuhuda tafadhari ili yamkini wengi tupone.
  3. Lukataluko

    2025 Uraisi ndani ya CCM (mawazo yangu)

    Mm namshauri mama aprinti form moja tuu kama alivyofanya mwenda zake.
  4. Lukataluko

    Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    We kenge Mbona umetutukana hivyo tumekukosea nn?
  5. Lukataluko

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nimeingiziwa 100000 juzi, Jana naangalia salio nakuta kuta 87000 kweli mnatukomesha aisee,wezi wakubwa nyie.
  6. Lukataluko

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Malalamiko haya wewe utakuwa Mwalimu tyu,hamuishagi kulalamika nyie.
  7. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Kukopa kwa sasa ctak mkuu, mpaka nimàlize deni langu ninalodaiwa.
  8. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Anajua kila mtumishi wa serikali n Mwalimu.
  9. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Mkopo nilionao bank unanitesa sana,kwakweli nitakopa mpaka pale nitakapo maliza deni lote.
  10. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Umeongezeka mkuu.
  11. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Nashukuru sana,hongera pia.
  12. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Nashukuru aisee.
  13. Lukataluko

    Hatimaye nimepanda daraja kazini

    Ahsante Rais Mama Samia, baada ya miaka sita ya taabu hatimaye leo nimepanda daraja.
  14. Lukataluko

    Maelekezo ya CCM kwa Serikali katika Wizara ya Fedha

    Mbona wakat wa marehemu, mlikuwa kimya?
  15. Lukataluko

    Yanga ina tatizo la kocha, wachezaji au viongozi?

    Tatizo la Yanga n huwo Mwiko, walouweka nyuma, wautoe haraka.
Back
Top Bottom