Search results

  1. L

    EID MUBARAK MEMBER WOTE WA HAPA!

    MMU ni kifupisho cha mapenzi,mahusiano na urafiki mimi nimebase kwenye kipengele cha urafiki hivyo basi nyie kama marafiki zangu basi ndio maana nawatakia eid mubarak na pia nakaribisha mialiko kutoka kwenu.Thread is over!
  2. L

    Hivi ni kweli "kwenda chumvini" kunasababisha meno kuuma?

    Kwa muda wa takribani cku 5 zilizopita hadi sasa ninasumbuliwa na maumivu ya jino ila baada ya kukutana na doctor m1 nikaelezwa kuwa 1wapo ya matatizo ya maumivu ya meno ni kwenda chumvini haswa ikiwa mwanamke anayefanyiwa hivyo ni mchafu sehemu husika kiasi kwamba anakuwa na bacteria ambao...
  3. L

    Msiokunywa pombe huwa mnavumiliaga vipi kumsubilia barmaid hadi mwisho wa kufunga bar?

    Nipo mjini mbulu hapa kwenye kagrosary flani ni kama vile huyu mdada ambaye ni barmaid kanielewa tatizo masaa hayasogei kabisa na yeye kadai huwa anafunga hii grosary saa nane ucku hebu nisaidieni nyie ambao hamnywi pombe kama mimi huwa mnatumia mbinu gani kuvumilia hadi mida hiyo?uzi tayari...
  4. L

    SINA HAKIKA ILA NADHANI HILI NI AJABU LA NANE DUNIANI

    Wale wanaorekodi maajabu ya dunia please naomba msiliache hili jamani eti kocha unaacha kwenda iringa na timu yako kupambania ushindi unabaki dar kusubiri simba afungwe.Matokeo yake mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.PUMBAF SANA ZAHERA uzi tayari. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Hivi ni kweli wanawake wanaodumu kwenye ndoa hawawapendi waume zao?

    Kuna usemi huwa unasemwa na baadhi ya wanawake kwamba ili mwanamke udumu kwenye mahusiano basi mwanamke anapaswa yeye asimpende huyo mwanaume isipokuwa mwanaume ndio anapaswa kumpenda mwanamke.Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka 6 sasa.Ninaishi na mwenzangu bila kuwa na serious conflicts...
  6. L

    Wamasai tunaonekana hatuna msimamo kabisa

    hadi leo jumla ya wabunge wa chadema waliojiuzulu ubunge na kurudi ccm kutoka kabila la maasai ni wabunge takribani wa3.Hili tu linatosha kabisa mimi kuhitimisha kuwa hatuna msimamo ktk maamuzi yetu na tumekuwa ni watu wa kuyumbishwayumbishwa mno utadhani hatukuchinjwa pale kishomi
  7. L

    TFF kuweni na huruma na mapato kwa timu

    Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama mechi hiyo.Mamlaka husika zinadai kwamba jumla ya sh.milioni 404,549,000 zilipatika. Kilichofanya...
  8. L

    Tofauti kati ya dedication na acknowledgement kwenye research

    Habari za leo member mwenzangu wa jf.Naomba kuelimishwa vizuri tofauti ya dedication na acknowledgement kwenye dissertation.
  9. L

    wako wapi maveterani wa jf?

    ni muda sasa cjaona post za kina shunie,mwifwa,mzigua90 nk.hivi ni kwamba wameteuliwa kuwa ma-rc,ma dc au makatibu tawala ndio maana mimi cwaoni huku?mwenye jibu anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    wako wapi maveterani wa jf?

    ni muda sasa cjaona post za kina shunie,mwifwa,mzigua90 nk.hivi ni kwamba wameteuliwa kuwa ma-rc,ma dc au makatibu tawala ndio maana mimi cwaoni huku?mwenye jibu anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    wako wapi maveterani wa jf?

    ni muda sasa cjaona post za kina shunie,mwifwa,mzigua90 nk.hivi ni kwamba wameteuliwa kuwa ma-rc,ma dc au makatibu tawala ndio maana mimi cwaoni huku?mwenye jibu anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    wako wapi maveterani wa jf?

    ni muda sasa cjaona post za kina shunie,mwifwa,mzigua90 nk.hivi ni kwamba wameteuliwa kuwa ma-rc,ma dc au makatibu tawala ndio maana mimi cwaoni huku?mwenye jibu anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Serikali tumbueni viongozi wa BAKWATA

    Kwa mujibu wa taasisi inayojiita Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, siku ya Jumatano ndiyo ya Umul Eid el Hajj. Mimi binafsi nimeshindwa kujua kwanini siku hii imekuwa tofauti na mataifa mengine ya Afrika Mashariki kama Kenya na Uganda. Ikumbukwe kuwa itikadi ya BAKWATA ni kuwa sambamba na Kenya...
  14. L

    PSPF kwa nini mnabagua wanaume wakati hizi ni zama za 50 kwa 50?

    Hivi nyie PSPF hamjui hata wanaume ni wazazi.Tangu tar.12/3/2018 hadi tar.19/3/2018 nilikuwa pamoja na wife hosp. Wakati anasubiri kujifungua cha ajabu wife kwa sasa anaweka sawa supportive documents kwa ajili ya kupata fao la uzazi kutoka PSPF wakati kwa mujibu wa sheria zenu kandamizi kwa...
  15. L

    UEFA iepusheni liverpool isikutane na barcelona kwenye UCL

    Mimi kama liverpool fan tangu enzi za gerrard houllier kwa kusema ukweli naogopa sana liverpool akipangwa na barcelona kwenye hatua ifuatayo ya 8 bora.Kama ningekuwa na uwezo basi ningependa sana man city ndio akutane na barca kwenye 8 bora.Sijui wadau wenzangu wa You will never walk alone mnasemaje
  16. L

    UEFA mna chuki binafsi na Man United

    Kama title hapo juu inavyojieleza.Mimi kama mshabiki wa majogoo wa jiji,jana usiku nilifadhaishwa mno na uamuzi wa UEFA kuifurusha man-U katika UCL kwasababu katika mechi ya mwisho ya UCL man city pia alipoteza 2-1 lakini UEFA imeivusha hadi nane bora. Kitu ambacho kinafanya niseme man-U...
  17. L

    Kama hawa ndiyo wanafunzi wa leo basi walimu kazi ipo

    Jana katika kazi zangu za ujenzi wa taifa nilikuwa mjini Babati katika shule ya sekondari x. Miongoni mwa changamoto zinazowakabili walimu kwa sasa ni utovu wa nidhamu kutoka kwa wanafunzi wao. Hebu fikiria mwanaJF mwenzangu hivi inakuwaje mwanafunzi anapata ujasiri wa kuiba baiskeli ya mwalimu...
  18. L

    Mliyewahi kutumia dawa za kuongeza umbile la uume naombeni mrejesho

    Kumekuwa na matangazo mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ja uwepo wa dawa mbalimbali za kiasili zenye kuongeza umbile la ndonga.Binafsi nimewahi kutumia baadhi ya dawa lakini sioni matokeo chanya zaidi ya kupata hasara kubwa kwani baadhi ya dawa nililazimika kutumia hadi sh.laki 1.5 kuipata...
  19. L

    Hongereni waajiriwa mliyethubutu kuoa/kuolewa na wasioajiriwa

    Kipindi hiki waajiriwa wengi wenye ajira rasmi iwe ni ajira za Serikali au binafsi wamekuwa waoga mno kuoa/kuolewa na mwenza asiye na ajira.Tumekuwa tukishuhudia ndoa nyingi ambazo kama mume ni mwalimu basi mke nae ni mwl au nesi au kaajiriwa sekta nyingine mbali na hizo nilizotaja. Siku hizi...
Back
Top Bottom