Hivi ni kweli "kwenda chumvini" kunasababisha meno kuuma?

loosimingori

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Messages
923
Points
1,000

loosimingori

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2017
923 1,000
Kwa muda wa takribani cku 5 zilizopita hadi sasa ninasumbuliwa na maumivu ya jino ila baada ya kukutana na doctor m1 nikaelezwa kuwa 1wapo ya matatizo ya maumivu ya meno ni kwenda chumvini haswa ikiwa mwanamke anayefanyiwa hivyo ni mchafu sehemu husika kiasi kwamba anakuwa na bacteria ambao hubaki kwenye mdomo wa mtendaji na kuanza kutoboa meno.Naomba madentist proffesionals mnisaidie kunielimisha kama kuna ukweli wowote juu ya hili
 

Forum statistics

Threads 1,390,573
Members 528,209
Posts 34,055,026
Top