Search results

  1. jasirimali

    Pambano la cheka na kaseba

    Cheka alihojiwa juzi tbc1 mchana akasema hatapigana na akawaasa waDanganyika kutofika huko kwa ajili ya pambano lake. Cha ajabu serikali ilivyo na vyombo vyao walivyo wapuuzi baada tu ya ile taarifa ya habari matangazo ya pambano la Cheka yakaendelea kama kawaida. Nashindwa kuelewa umakini wa...
  2. jasirimali

    Pambano la cheka na kaseba

    mbona unachanganya nguo na mtumba?
  3. jasirimali

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Ama kweli kizuri ni kizuri na chenye ubora ni bora. ChaChaMa wameishiwa, hawana jipya ndo maana wakuu wao wameingia mitini mkutanoni.
  4. jasirimali

    Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake?

    Gari lake linatusaidia nini?
  5. jasirimali

    Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake?

    Umenena vyema mkuu. Hapa umenipa mwanga mpana zaidi.
  6. jasirimali

    Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

    Clouds Tv na Channel 5 si sehemu sahihi ya kuchomoa na kujiaminisha kwa hizi taarifa. Kama vyanzo ni hivyo, mie bado nasubiri kuskia, siamini vyanzo vyenu. Hao saizi yao ni Wema Sepetu na Lulu, huku kwingine sio levo zao
  7. jasirimali

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Asanteni sana wadau. Ngoja nianzie hapahapa mliponielekeza. Nitarudi kuwapa matokeo. Kwa kweli nimekua nikisumbuliwa sana na ngozi. Naanzia hapahapa Dsm, ikishindikana ntaelekea KCMC.
  8. jasirimali

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Salaam Wadau! Hivi jamani wapi naweza kupata daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi hapa jijini Dsm? Nimezunguka Ocean Road na Hindu Mandal ila naona wote fix tu. kwanza hawajajaribu kufanya vipimo vyovyote juu ya ugonjwa wangu, wao wanapima kwa macho na kunipa madawa hayohayo kila siku ila kwa...
  9. jasirimali

    Lowassa kuongea na vyombo vya habari

    Hili tukio litarushwa live bila chenga? Itakua mda gani na thru channel gani?
  10. jasirimali

    Airtel sasa ni wezi?

    sina uhakika sana na hilo la airtel, ntalifanyia uchunguzi. nna wasiwasi na uhusiano wako na hiyo picha yako hapo
  11. jasirimali

    Nani ana msisimko zaidi?

    ambae hajaenda suna mana yake haitaji ndomu, si anakua na ndom ya asili. Sasa hizo ndom za kichina za nin tena?
  12. jasirimali

    Fiesta on Clouds TV

    Kwani ukiwa na complmntr lzm uende? we nawe kwa kupenda vya bure!! bure gharama.
  13. jasirimali

    Sugu Vs. Tuzo za Heshima-Fiesta!!Kulikoni??

    Kweli wewe Pepo, mawazo yako yanafanana na jina lako!! Kama huna heshima kwa Jmo ktk mzk huu wa Tz basi huna tofauti na Rais wako asiyemjua mmiliki wa Dowans.
  14. jasirimali

    Hongera kwa JK zasababisha Bushoke kuzomewa tamasha la Fiesta

    Acha azomewe. Kama alitaka kumpongeza si angempigia simu ampe hongera zake. Aliungana na Clouds eeh? fiesta ilikua jukwaa la wanafiki wa Radio ya Wafu (Namnukuu Mh. Sugu). Huyo si ndo alikua analalamika kifungo cha kina Seya waliofungwa kpnd cha utawala wa Vasco Da Gama, sasa leo hii kakumbuka...
  15. jasirimali

    Disco la nguvu la kesha siku mbili mfululizo MAKABURINI!!

    Labda wewe utuambie ulitakaje, ulitaka kusiwe na huo mziki au ulitaka asizikwe?
  16. jasirimali

    Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

    JMoo ndo jengo gani? Mi nnavyojua JMoo ni jina la msanii wa HipHop Tanzania. Hilo jengo ni J. Mall. Usichanganye Tui na Maziwa siku nyingine. Asante kwa kunielewa.
  17. jasirimali

    Scholarship za kusoma nje

    Hata ningem'direct Msumbiji pia ungeuliza. Open kwa sababu ni nje ya wilaya yake, na Muslim Morogoro kwa sababu ni nje ya mkoa wake. Unless afunguke na kusema ni nje ipi anamaanisha yeye.
  18. jasirimali

    Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha

    Mtoa mada mbona unakurupuka sana? Mbona unauliza maswali na kuyajibu we mwenyewe? Unauliza au unatoa majibu yako ya kufikirika?
  19. jasirimali

    Scholarship za kusoma nje

    si ukasome Open University. Mastaz zipo pia. Au Muslim University Morogoro.
  20. jasirimali

    CCM tatizo ni Sitta na genge lake

    Sasa unataka akae Daslama halafu jimboni kwake utakaa wewe?
Back
Top Bottom