Search results

  1. raphael andrew

    Elon Musk anaiua Twitter

    Ona tweet yake chini hapo,[emoji116] kama imemshinda amrudishie Jack aiendeleze
  2. raphael andrew

    FROM: Series kali sana ya kutisha

    Series inahusu mji mdogo ambao ukijichanganya tu kuingia unashindwa kutoka yaani unakua umekwama na huwezi kuondoka kwa namna yoyote. Na balaa zaidi ni usiku kuna viumbr wanakuja, haitakiwi kuacha sehemu yoyote wazi kwenye nyumba yako. Mzigo una seasons 02 ambazo ni complete. Cha zaidi...
  3. raphael andrew

    Series kali inayohusu mambo ya hip-hop

    Nimepakua series inaitwa Wu Tang Clan mpaka sasa nipo S02 ni kali mno kama ni mpenzi wa hizo mbanga hii si yakuacha kabisa. So naomba kama kuna series inayofanana maudhui kama ya hii Wu Tang naomba share jina tuburudike.
  4. raphael andrew

    Cristiano Ronaldo arejea Manchester United

    Cristiano Ronaldo amejiunga Man United akitokea Juventus ya Italia kwa mkataba wa miaka miwili,mimi kama shabiki wa Man United nimefurahi mno ukizingatia Cr7 ndo alisababisha mimi kuanza kufatilia football.japo umri umemtupa mkono ila tunatarajia mengi mazuri kutoka kwake.
  5. raphael andrew

    Naombeni suggestion ya animation mpya

    Binafsi mimi ni mpenzi sana wa hizi movie za animation ama cartoons kama kuna wadau mnafatilia hizo movie share nasi tuweze kuzicheki tusogeze muda.
  6. raphael andrew

    Share movies nzuri series au single movies yoyote tuburudike.

    Nna viMb kadhaa nataka nipakue movies mtandaoni visije tafunwa kiroho mbaya na Halotel.
  7. raphael andrew

    Wataalamu wa smartphone ipi ni antivirus nzuri

    Naona simu yangu inastuck kila muda nilidowload baadhi ya antivirus ila zilikua na ads kama zote pop-up kila muda na maapplication mengii MSAADA [emoji22][emoji22][emoji22]
  8. raphael andrew

    Nawezaje kuzuia ads kwenye simu yangu?

    Msaada jamani kwa anaejua labda kuna ujanja wowote jinsi ya kuzuia ads hata kama niko net yanajifungua yenyewe tu ni kero balaa
  9. raphael andrew

    Juventus watangaza tiketi za msimu ujao zimenunuliwa zote baada ya ujio wa Ronaldo

    Juventus wametangaza tickets za msimu ujao zote zimenunuliwa (SOLD OUT) kufuatia kutua kwa Cristiano ronaldo klabuni hapo licha ya bei za tickets kupanda kwa asilimia 37% lakini zimemalizika ndani ya wiki moja tu.
Back
Top Bottom