raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 809
- 897
Nna viMb kadhaa nataka nipakue movies mtandaoni visije tafunwa kiroho mbaya na Halotel.
Inazungumzia nguvu za Giza nn?Kwa muda huu nadhani the NUN itakufaaView attachment 1634834
Extratraction ya 2020
Hizi apate kuanziaAngel has fallen ,ukiipata hutojutia kuunguza Mb zako
Ya mwaka gani hii mkuu..?Kwa muda huu nadhani the NUN itakufaaView attachment 1634834
Jamaa anatoa lini nyengine..?Hizi apate kuanzia
Olympus Has fallen
London has fallen
Angel has fallen.
Balaa kubwa sanaaa.
Hii picha inatisha sana yaniKwa muda huu nadhani the NUN itakufaaView attachment 1634834
Sijajua kwa kweli mana sio mfuatiliaji wa karibu sana. Mimi ni mzee wa kuangalia tuJamaa anatoa lini nyengine..?
Jamaa anajua maana ya movie yupo njema sana..Sijajua kwa kweli mana sio mfuatiliaji wa karibu sana. Mimi ni mzee wa kuangalia tu
Hizo zote zinakalishwa na whitehouse down.Hizi apate kuanzia
Olympus Has fallen
London has fallen
Angel has fallen.
Balaa kubwa sanaaa.