raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 825
- 951
Naona simu yangu inastuck kila muda nilidowload baadhi ya antivirus ila zilikua na ads kama zote pop-up kila muda na maapplication mengii MSAADA [emoji22][emoji22][emoji22]
Swali makini hili maana sio simu zote zinahitaji antivirus, hususani budget au low end smartphonesSimu ya aina gani?
Tecno P3Simu ya aina gani?
DuhTecno P3
Tecno P3
Sijawahi kuona haja ya antivirus software kwenye simu!!
Android OS iko based kwenye Linux family of OS (e.g. Ubuntu, Fedora nk) ambazo hazishambuliwi na viruses.
Hivyo uninstall takataka zote zinazokula memory yako na simu itakuwa fresh tu! Kustack kwa simu hakumaanishi ina virus, it might be merely running out of space.
Bora umenena mkuuSijawahi kuona haja ya antivirus software kwenye simu!!
Android OS iko based kwenye Linux family of OS (e.g. Ubuntu, Fedora nk) ambazo hazishambuliwi na viruses.
Hivyo uninstall takataka zote zinazokula memory yako na simu itakuwa fresh tu! Kustack kwa simu hakumaanishi ina virus, it might be merely running out of space.
Mzee baba kuna app fulan zilijileta tu na sioni sehemu ya kuyatoaumeua mkuu ni zaidi ya jibu.
J8Simu ya aina gani?
Karspersky
Cheki hii kitu naitoaje hapaSijawahi kuona haja ya antivirus software kwenye simu!!
Android OS iko based kwenye Linux family of OS (e.g. Ubuntu, Fedora nk) ambazo hazishambuliwi na viruses.
Hivyo uninstall takataka zote zinazokula memory yako na simu itakuwa fresh tu! Kustack kwa simu hakumaanishi ina virus, it might be merely running out of space.
Format Simu YakoCheki hii kitu naitoaje hapa View attachment 970545
Format Simu Yako
Kama huoni mahali per kui-uninstall basi format simu yako!Cheki hii kitu naitoaje hapa View attachment 970545
Mkuu unajua kuformat lkn?Lipo tu
Mkuu unajua kuformat lkn?
Haiwezekani ukaformat likaendelea kuwepo
NdiyoSi ndo restore au vipiView attachment 970611