raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 825
- 950
Msaada jamani kwa anaejua labda kuna ujanja wowote jinsi ya kuzuia ads hata kama niko net yanajifungua yenyewe tu ni kero balaa
Simu ni aina gani?Msaada jamani kwa anaejua labda kuna ujanja wowote jinsi ya kuzuia ads hata kama niko net yanajifungua yenyewe tu ni kero balaa
Simu ni tecno j8 ads zinatokea hata nikiwa Twitter, Whatsapp zinatokea tuSimu ni aina gani?
Ads zinatokea within a browser?
Au zinatokea hata ukiwa sehemu nyingine? Mfano ukiwa unaandika sms au kwenye gallery?
Hili swala limeanza ghafla?Simu ni tecno j8 ads zinatokea hata nikiwa Twitter, Whatsapp zinatokea tu
Simu ni tecno j8 ads zinatokea hata nikiwa Twitter, Whatsapp zinatokea tu