Search results

  1. kidudula

    HALI NI MBAYA SANA TURKANA, KENYA MSAADA UNAHITAJIKA

    Nilikua napitia video katika mtandao wa 'YouTube' Nikaingia kwenye Channel ya 'SimuliziNaSauti' Nilikutana na video ya kusikitisha sana, Raia wa Turkana wanakufa na njaa. Serikali ya Kenya angalieni namna ya kuwasaidia hawa Wananchi wenu. 'Link' ya video hii hapa chini Sent using Jamii Forums...
  2. kidudula

    Staajabika na kesi ya mauaji yenye utata zaidi

    March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa kwa kupigwa risasi kichwani, Hii inatokana na jeraha kubwa la risasi kichwani alilokutwa nalo marehemu Ronald Opus...Hapa ndipo tabibu mkaguzi pamoja na...
  3. kidudula

    'KICKBOXER' MTANZANIA AONESHA MAAJABU CHINA

    Mwanafunzi Mtanzania anayetokea Mkoani Mwanza anyesoma chini, Amefanikiwa kuandika historia mpya katika mchezo wa 'kickboxing' kwa kumpiga kwa 'knockout' mpinzani wake raia wa China Angalia video hii hapa chini akiwa anamtambazia kichapo kizito Mchina huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kidudula

    DIAMOND PLATNUMZ KUMSHIRIKISHA LIL WAYNE WA MAREKANI

    ANGALIA KIONJO CHA WIMBO HUO HAPA
  5. kidudula

    Mtanzania Ampiga kwa knockout Mzungu huko Birmingham, UK

    Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika ukumbi wa 'ARENA BIRMINGHAM' ANGALIA BAADHI YA VIPANDE VYA PAMBANO HILO HAPA
  6. kidudula

    Natafuta mke

    Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28. Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira. Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu. Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu wa wastani tu, Elimu yeyote tu, Asiwe mnene wala mwembamba sana, Dini awe Muislam, Kabila lolote tu...
  7. kidudula

    Natafuta mashine ya LG Nexus 5X

    Habari Wakuu, Natafuta mashine ya simu aina ya LG Nexus 5X, Iwe nzima au nauza kioo full cha hiyo simu pamoja na betri yake. Nitashukuru iwapo nitapata. Mawasilaiano yangu ni kwa namba 0717540261.
  8. kidudula

    ANDROID BOX TV

    Naombeni kujua hii kitu ni nini na ina faida gani kwenye ulimwengu wa TV wazee maana naona zina trend sana siku hizi
  9. kidudula

    Nahitaji iphone 5 yenye iCloud

    Nahitaji iphone 5 yenye iCloud Bei yangu ni 80000 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom