'KICKBOXER' MTANZANIA AONESHA MAAJABU CHINA

'KICKBOXER' MTANZANIA AONESHA MAAJABU CHINA

kidudula

Senior Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
130
Reaction score
108
Mwanafunzi Mtanzania anayetokea Mkoani Mwanza anyesoma chini, Amefanikiwa kuandika historia mpya katika mchezo wa 'kickboxing' kwa kumpiga kwa 'knockout' mpinzani wake raia wa China
Angalia video hii hapa chini akiwa anamtambazia kichapo kizito Mchina huyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Kwanza Leo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Msukuma ana makonde mazito mchina mpaka kalewa
 
kapewa vifuti vya kutosha.. Napenda kick boxing sababu ya Yale mateke.
 
Back
Top Bottom