Search results

  1. twenty2

    Could this be true?

    Hamna ukweli wowote kama mlipanga iingie itaingia tu bt kama hamjapanga haitoingia labda ziwe zile za bahat mbaya
  2. twenty2

    Nahitaji mume sio mchumba

    Sasa ukianza kudhaminisha c ndio hatua ya uchumba iyo na mwenyewe amesema hatak uchumba anataka ndoa
  3. twenty2

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Ni kweli kupishana kwa sababu tumezaliwa tumeikuta baba n mama wamepshana miaka hasa baba kampta mama tena mingi tu,lakin sio kwa dunia ya sasa mpshane,mcpshane,mke awe mkubwa,mume awe mdogo,au mume mkubwa,mke mdogo,yote na yote mapenz ayaangalii umri wala kabila,rangi,destuli,mila ukishapenda...
  4. twenty2

    Mpenzi wako yuko hapa. Mtambue sasa hivi

    Daaaah iyo n pesonality
  5. twenty2

    Zijue aina 6 za watu wenye tabia mbaya zinazokera…..!

    Ni kweli kutembea uch n tabia mbaya bt cku iz n fashion tena ata wazaz we2 ckuiz wanatembea uchi na kufanya vi2 vya kiuch adhalan mbele ya watoto zao na ata mbele ya bibi zetu,ukiuliza eti n uzungu au tunakwenda na wakat
  6. twenty2

    Zijue aina 6 za watu wenye tabia mbaya zinazokera…..!

    Yaaan research yako n noma na n kweli wapo,kuna moja imenigusa
  7. twenty2

    Mabinti Kuwekwa Nyumba ndogo tatizo nini?

    Ni mbaya kwa jamii inayomzunguka ila n nzur kwa muhusika na katika mapezi na akiamin kuwa mume wa mtu ndio anayejua mapez,na kutunza kuliko kijana mwenzie,wenyewe usema ujana majiyamoto,au kijana damu bado inachemka
  8. twenty2

    Diamond anaswa akifuturu na kimada wake, maustadhi wamcharukia na kugeuka mbogo..!!

    Pia mbali na diamond na awala wake pia kwenye pch zinaonekana kuna baadh ya waalikwa wengne wanafutulu wakiwa vichwa wazi na pia naona kama wanaume na wanawake wakifutulu pamoja wakati kidini hairuusiwi na ndio mana ata msikitini wametenganisha sehemu ya kike na kiume pa kufanyia ibada basi na...
  9. twenty2

    Diamond anaswa akifuturu na kimada wake, maustadhi wamcharukia na kugeuka mbogo..!!

    Kidini hairuhusiwi kabisa,na hata hao mashehe walitakiwa wakishakuta vile walitakiwa waondoke na kumsusia futari yake kwasababu wanakuwa wanafuturu futar ambayo iliyozungukwa na watu wenye zinaa,na hao mashehe pia n wanafki
  10. twenty2

    Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    aisee pole sana tena sana ndio mchezo wa cku izi
  11. twenty2

    Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

    kaolewa bt anachokifanya ni ulimbukeni na ushamba kwasababu kuoa au kuolewa akulazimishwi ni maamuzi ya mtu binafsi
  12. twenty2

    Haki ya elimu kwa watoto

    Watoto wanahitaji elimu na muda wa kutosha wa kukaa na wazazi wao sio kuwatumikisha. Inaonyesha wazai wengi uwanyima watoto haki ya elimu hasa...
  13. twenty2

    Rushwa ya ngono kwa ajira

    Bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza rushwa ya ngono hasa maofisini. Mbunge wa Kawe Halima Mdee amewataka Wasichana kujiamini na kutokutegemea kutoa Rushwa ya Ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati...
  14. twenty2

    Elimu Tanzania inasaidiaje wahitimu?

    Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado wapo mpaka leo wanatafuta ajira,ukiuliza kwanini atakwambia anavigezo sasa elimu yetu itatusaidia...
  15. twenty2

    Mdada anapomkunjia ndita ampendaye atarajie nini?

    ni kweli bt inategemea na situation
  16. twenty2

    Do you belive?

    Many believe love is a sensation that magically generates when Mr or Ms Right appears.No wonder so many people are single.
  17. twenty2

    Mapenzi n nn?

    Asante nmeshakalibia si unajua maisha kuangaika na ndio mana mkaona kmya.
  18. twenty2

    Mapenzi n nn?

    Ajaniambia na ndio maana nikauliza
Back
Top Bottom