twenty2
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 296
- 32
Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado wapo mpaka leo wanatafuta ajira,ukiuliza kwanini atakwambia anavigezo sasa elimu yetu itatusaidia nini?