Magonjwa yatokanayo na STDs sio mapya na yameendelea kuwepo. Kwa elimu nahitaji kufahamu dalili za haya magonjwa na effective medicine ya kutibu.
Hii itakuwa faida kwa wengi..
study hii ina mapungufu mengi sana. Pamoja na mapungufu yaliyotajwa, pia hatujaonyeshwa muda uliotumika na age groups. na kama walienda wanandoa comperative study ingeonyeshwa hapa. Mara nyingi study za namna hii ni kwa ajili ya kufurahisha donors wa nje ili waendelee kuomba misaaada
Kwanza rudi shule uelewe maana ya kuwa analyst, then weka mawazo yako upya au vinginevyo futa neno analyst na weka politician. Halafu jielimishe kwanza, vyama vya siasa vilianza lini na before kulikuwapo na nini?
Hii inawezekana ni mbinu ya CCM kuwatoa watu kwenye hoja ya msingi na kuwaingiza kwenye marumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Huyu Malecela anafahamika kuanzia pale alipopendekeza Kabwe asimamishwe. Infact hana jipya kwa sasa na anazeeka vibaya kama anajiweka kwenye kundi la...
Acha aongeze hata kama hasipoongeza mbona NKAPA alikuwa na mmoja (official) lakini akaondoka na resources za taifa nyingi tu. So mkono wa wizi na kuridhika ni tabia ya mtu tu
source: mzee wa sumo (Mpoki Bukuku)
Mwenyekiti wa Timu Maalumu (Task Force) ya Rais ya kuchunguza wizi wa mabilioni ya shilingi Benki Kuu katika kashfa ya ufisadi, Johnson Mwanyika (kushoto), ameshindwa kutoa hesabu kamili ya pesa wanayodai kukusanya na hakuwa na jipya la kueleza badala yake...
Mimi sijawahi kuona utafiti usiokuwa na FACTS and FIGURES. Ninachokiona hapa ni maneno ya kijiweni. Weka comparative figures ku-authenticate your arguments.
Sasa kama makampuni yanafahamika kwanini asiseme ni kampuni gani imerudisha pesa????? Ukisikia kamati iliyo-fail kabla ya kazi ni hii ya wajinga watupu--Mwanyika-Hosea- kwanza wote inabidi waachie ngazi na wanaendelea kuonyesha uwezo wao mdogo.
Ile study group ya wakenya iliyosema kuwa bandari Dar ni No.1 kwa Rushwa watu tuliona kama wanaleta ubinafsi but in real sense walikuwa sawa kabisa. Wale wafanyakazi wa TRA na sehemu nyingine wanapopangwa kituo cha bandarini basi ndoto ya kuwa masikini kwa njia haramu huwa imetimia. Nafikiri...
Hawa wataalamu wa WOrld Bank na mashirika mbuzi yote si ndo walitushauri kuhusu madini kuwa tusiweke mashariti yoyote ili kuvutia wezi akina BARICK na wengine?
Shida moja ya hawa wataalam nchi kama Tanzania hatuna ubavu wa kukataa wataalam uchwara yaani tunaletewa tu. Je CV zao nami...
kwanza serikali ingekuwa makini ingejua kuwa wwanaofaidika na hizo pesa za kudanganya ni wengine tu kwani mara nyingi watu wanamalizanaa na hao wahuni bandarini. Lakini ukweli kwamba TRA hasa wale jamaa wanaofanya physical checking ni wahuni sana sababu huwezi kujudge gari kwa kutumia mikanda...
Kwenye net naona hizi website kama zinashughulika na real estates
http://www.prointz.com/
http://franklintz.com/cgi/contacts.php
Ila jaribu kupata kwanza info kuhusu genuineness za hizi site
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.