Search results

  1. ofisa

    Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Tatizo la wengi ni mke mmoja ambaye akikutenda na huna mamlaka ya kumfukuza basi ndio shida inapoanzia. Kama una wake wengi utafarijika.
  2. ofisa

    Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Halafu brame ya watoto kwa walimu badala ya ninyi na mdada wenu .
  3. ofisa

    Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    Nàkumbuka hatà press zake dunia ñzima ilikuwa inamfuatilia kujua atasema nini.
  4. ofisa

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    kunà sanda za kisasa na kizamani?
  5. ofisa

    Sakata la Mafao: Wanakati Tunaangalika na hii Nusu Shari ya Sasa tusisahau Shari Kamili inayokuja

    Tatizo wataàlam hawakazii mañeno yaobtukawaelewa.FÀO LA KUJITOA sio sahihi ila ndio kimbilio la vijana wengi na wakizeeka(kuishiwa nguvu) sijui itàkuaje.
  6. ofisa

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Mi nimesikitika kuona subaru ilivyokunjika mpaka sina imani na Wajapan,wanajeenga gari kama nyumba zao zilivyo kujihami na matetemeko.
  7. ofisa

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Maisha magumu,kitendo tu cha kuwa na dumu nyumbani maana yake ndio wanachotea maji kwenye mabomba au visina vya mbali na kwao.
  8. ofisa

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Ndio tumeshindwa hata kuomba kesho ijumaa iwe mapumziko?
  9. ofisa

    Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

    Nje ya mada ,Majamaa yanachukua makaa ya mawe kutoka songea yanapita iringa dom to Kenya,matokeo njia ya iringa dom inateketea.najiuliza pale mpakani yanalipwaje? Je sisi hatuwezi alika mwekezaji aje achimbe na kusafirisha hayo makaa ya mawe,?Songea nayo inateketea kwa mavumbi. TISS usalama wa...
  10. ofisa

    Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Akiwa ni mmoja wa ma X wako utawàpokea kama single mother au mzazi mwenzio, Kama vipi rudi kwa mzazi mwezio mwenye kukaribia hiyo sifa.
  11. ofisa

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Shukuru una watu,yaani shida ya mwezio unamweleza Mamako ana kuhangaikia anatuma pesa.Shukuru sana.Najua unaumia kama mtu ulieachwa na mtu unayempenda au pengine unampenda.basi umeshaijua rangi yake.
  12. ofisa

    Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Unakuta V8 kali namba A inailisha unajua ya wenyewe kumbe ni minyewe inasafirishwa.
  13. ofisa

    Kama tuna haki tudai lakini tuepuke mihemko! Refa wa kati tunamuangushia jumba bovu!

    Tatizo hatuwaungi mkono DSTV,we VAR gani ni upande mmoja tu ina maana DSTV walishindwa kuweka kamera tatu golini tuone na video za upande mwengine.azam angepewa hiyo tenda mbona makamera yanamwagika tu.
  14. ofisa

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Ndio miezi sita sasa,swali wale mateka kwenye mabadilishano walitokea ndani ya palestina?
  15. ofisa

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Tupeni mbadala,yale ni mawazo yake ya hesabu na zile ni data zake,elfu 2000 kwa mwezi na nchi nzimabtutibiwe bure we inakuuma.
  16. ofisa

    Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

    Haya watabiri,ndio nini kesho kinatokea tujue kwa sentesi moja sio paraghaf.
  17. ofisa

    Aliyeweza kuimudu Tanzania ni Hayati Magufuli tu? Mbona tunakwama sana?

    Mi sielewi,kuna wakati walidai nchi inategemea sana umeme wa gesi,ajabu ukame ukija upungufu wa umeme,mara tumewasha NHP baadae tumefungulia maji na mtambo umezima sababu maji ni mengi. Sometime unahisi hawa hauza solarpower wameingia mikataba na nchi ili sisi tuwe wateja wa kudumu wa solarpower...
  18. ofisa

    Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

    Natamani Sabaya ashike hiyo nafasi,PATACHIMBIKA nchi nzima.CCM itafufuka.
  19. ofisa

    Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Issue ni tabia hujui kukataa,sasa ipo siku utaombwa naniliu utatoa tu .
  20. ofisa

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Shukuru huna nguvu za kiume tu.
Back
Top Bottom