Search results

  1. OSAM

    Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Kwa issue ya Loliondo acha iwe mbaya tu, waondokewe huyu mwekezaji siyo mwekezaji tu, watanzania wengi sana wameuwawa kwenye hicho kitalu chake.
  2. OSAM

    MSAADA iPhone 4

    Ukiweka line inadetect tu kuwa kuna line lakini haitambui network nilijaribu kuuliza voda nikaambiwa mpaka niiflash nikajaribu kucheki kwa wahindi fulani wakaniambia niwaachie model ya simu nirudi baada ya siku kumi nimejaribu kucheki online forums nimeona kuna namna fulani but ya kurestore but...
  3. OSAM

    MSAADA iPhone 4

    Wadau naombe iso inayoruhusu kutumi line zetu kwenye iphone 4 au namna ya kufanya cofiguration ili ikubali kusoma network zetu.
  4. OSAM

    Mkuu Naomba Mbinu Hiyo

    Kaka naomba nisaidie hiyo mbinu nieendelee kujichana
  5. OSAM

    nimeubutua mshipa(bu sha) wa chizi

    Ingekua vp ulivyombutua angedanja? Hauoni ungenunua Madam kesi tena kwa mtu ambaye hata haumfahamu?
  6. OSAM

    Wadau msaada wa laptop ina shida

    WADAU NINAOMBENI MSAADA NINA LAPTOP INSPIRON 600m inashida na haiwaki kila nikiunga adapter yake adapter inazimika taa ya kijani inayokua inawaka sijui ni nini tatizi nimejaribu kufungua ndani na nimesafisha motherboard yote lakini kitu ni kile kile kama kua mdau mwenye solution ya tatizo hili...
  7. OSAM

    Model K3565-Re 2

    Ni HUAWEI cooperation au ni ZTE? Nijulishe ili nikuambie cha kufanya mimi mwenyewe ninatumia Model hiyo hiyo yangu ni HUAWEI.
  8. OSAM

    Gateway laptop haiwaki

    Nimejaribu ku reset but mwendo ni ule ule.
  9. OSAM

    Gateway laptop haiwaki

    Wadau ninaombeni msaada nina laptop Gateway nikiwasha inawaka kabisa hata nikitaka kurua BIOS ninaweza lakini haikubali kuendelea ku boot nimejaribu kuweka first book iwe cd rom na nikaweka bootable cd lakini haikubali kabisa creen inakuwa blank tu na hata nikiweka first boot iwe cd rom mambo...
  10. OSAM

    Naombeni Software ya EPICOR inayotumika kataka halmashauri za wilaya

    Wakuu ninomba msaada ya hii program
  11. OSAM

    Kama umechoshwa na Activation message ya windows 7 au (Message ya genuine )

    Da! Mkuu ngoja niijaribu ikoje kama iko mwake niwashauri jamaa zangu. ahsante sana!
  12. OSAM

    Partitioning Computer (XP version)

    Mkuu kwenye windows xp hauzi kui shirik disk nakushauri tumia hiyo njia ya jamaa aliyokuambia utumie partition manager au utumie partition magic lakini kama computer yako imekuwa affected with virus jaribu kutafuta mtu akuazime external hard driver ili uifadhi vitu vyako kwani hiyo inangia...
  13. OSAM

    Msaada wa mtuha vonversion database

    Wadau naombeni kama kuna mtu anayo software ya MTUHA anisaidie. Ni Database inayotumiwa na secta ya Afya sana sana.
  14. OSAM

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake. Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kwa sababu nilikua na safari ya muhimu sana. Nilijaribu...
  15. OSAM

    Msaada wa kuunga modem kwenye window 7

    Ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo kila nikiunga Modem yangu kwenye computer yangu inaleta msg km inavyoonekana kwenye picha. Asanteni sana wadau.
  16. OSAM

    SATA na IDE ndio nini?

    Mkuu hajui kweli au unatuzuga? Mmmmmmmmmmmmmmh!!?
  17. OSAM

    internet ya bure

    Zipo lakini sinakuwa za IT wa mitandao kwaajili ya matumizi yao. Ukiona mtu anayo ujue katoa kitu kidogo line yake ikafanyiwa mambo>
  18. OSAM

    hili ni tukio la kweli

    Temana nao hao ni kawaida ya mapacha hata mimi nimeshuudia kwa msela wangu but yeye alivyogundua aliendelea kuwakilisha na mwisho wake ulikua mbaya sana.
  19. OSAM

    Router

    Mkuu mimi ninayo ya wireless na inaport 4 kama vipi tuwasiliane
  20. OSAM

    Speed ya Internet ya tiGO inatisha

    voda inabidi wajipange upya
Back
Top Bottom