Gateway laptop haiwaki

OSAM

Member
May 14, 2011
31
2
Wadau ninaombeni msaada nina laptop Gateway nikiwasha inawaka kabisa hata nikitaka kurua BIOS ninaweza lakini haikubali kuendelea ku boot nimejaribu kuweka first book iwe cd rom na nikaweka bootable cd lakini haikubali kabisa creen inakuwa blank tu na hata nikiweka first boot iwe cd rom mambo ni hayo hayo na kwenye BIOS hard disk na cd rom zinasomeka fresh. nisaidie wadau.

 
reset bios halafu utuambie kinachoendelea.
HT
 
Back
Top Bottom