Search results

  1. mahugijafarAzzubayr

    Pata bidhaa mbalimbali hapa

    Habari zenu wadau Leo nakuja na maada hii ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli >hutibu saratani >hutibu ngiri >hutibu tezi Duke Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa mwenyezi ujuzi zaidi anakaribishwa.
  2. mahugijafarAzzubayr

    Ethical Hacking and penetration test

    Wadau habari zenu Lengo la kuanzisha huu Uzi ni kutaka mnisaidie nahitaji kuwa hacker na nimesha anz kupitia baadhi ya matini ya hacking issues.naomba mwongozo wenu juu ya matini yaan vitabu vya kuanza kusoma kwa mwenyezi navyo anisaidie. Naomba mnielekeze mbinu zipi nyingine nizitumie ili...
  3. mahugijafarAzzubayr

    Mwalimu wa early childhood anapatikana hapa

    Mimi ni muhitimu wa chuo cha ualimu vikindu ngazi ya stashahada ya elim ya awali. Kwa wale wamiliki wa shule na vyuo ambavyo vinahitaji mwalimu mahiri wa elim ya awal yupo hapa. kwa sasa nipo ukonga kwa mawasiliano zaid watsup me 0769103506 Mahugijafar@gmail.com
  4. mahugijafarAzzubayr

    Maalumu kwa tuliosoma chuo cha Vikindu

    Huu uzi nimeuanzisha kwa lengo la kukutana wale tuliosoma chuo cha ualimu Vikindu au wanaoendelea kusoma pale chuo. Uzi huu ni mahsusi kwa kusaidia juu ya changamoto mbali mbali . Kujulishana mambo yanayo zidi endelea pale VTC. Mnakaribishwa wote toka wale wa enzi za UBUGUYU mpaka MAMa AMINA...
  5. mahugijafarAzzubayr

    Mikoba inauzwa

  6. mahugijafarAzzubayr

    INAUZWA miliki mkoba wako maridadi kabisa

    jipatie mkoba wa kijanja kwa bei nafuu kabisa. pendeza na tokelezea kijanja kwa malighafi bora kwa mawasiliano zaidi watsup 0769103506 halotel 0621095493
  7. mahugijafarAzzubayr

    Naomba mnisaidie sylabus ya english O level

    Nahitaji sylabus ya somo la english o-level kwa aliye nayo anisaidie. Ni muhimu sana
  8. mahugijafarAzzubayr

    Habari zenu wadau

    Mimi napenda kushirikiana nanyi katika nyanja mbalimbali.nina uhitaji na ushirikiano wenu. @#kila msomi hutegemea mabega ya msomi mwenzake
  9. mahugijafarAzzubayr

    Kongore

    Nini maana ya neno kongore
Back
Top Bottom