mahugijafarAzzubayr
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 202
- 156
Wadau habari zenu
Lengo la kuanzisha huu Uzi ni kutaka mnisaidie nahitaji kuwa hacker na nimesha anz kupitia baadhi ya matini ya hacking issues.naomba mwongozo wenu juu ya matini yaan vitabu vya kuanza kusoma kwa mwenyezi navyo anisaidie.
Naomba mnielekeze mbinu zipi nyingine nizitumie ili niwe white hacker naipenda sana technology natumai mtaniwezesha Mimi niwe white hat hacker