Search results

  1. king kan

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Kapiga wapi? Na raia wa Israel wangapi wamepigwa ukilinganisha na wale aliopoteza yeye? Kusaidiwa ni jambo la kawaida kusaidiwa. Hata missiles za Iran zilikuwepo pia za Urusi, pia Iraq, Yemen na Hezbollah nao walisaidia pia.
  2. king kan

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Mleta mada acha siasa za upande. Hapo kwenye Israel is defenseless una proof ipi? So far Israel ameintercept kwa mafanikio makubwa attacks zote alizotumiwa. Ni vizuri kufikiria at this moment busara zaiwaongoze wote wawili but so far Israel is by far more powerful kwa matokeo ya usiku wa...
  3. king kan

    Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

    Jifunze kwanza kilichotokea Kenya. Kenya sarafu dhidi ya Dola ilishuka thamani kwa mporomoko kutokana na fixing na pia wasiwasi kwamba Kenya ingeshindwa kulipa deni lake la Eurobond. Serikali ya Ruto ilikopa na kustructure deni la Eurobond hali iliyoondoa wasiwasi na kupelekea sarafu yao...
  4. king kan

    Je ni sawa kwa hospital za kimara na sinza palestina kuwaambia wateja wao walipe kwa njia ya mtandao?

    Wanalipia mtandaoni au wamekupa control number ulipie? Serikalini pote kwa sasa malipo ni kwa njia ya control number. Na kwa kiasi utaratibu huo umepunguza upigaji na utapeli.
  5. king kan

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Umri wangu huhitaji kuujua maana hausaidii lolote kuhusu hii kesi. Mauaji ya Bilionea yameelezewa sana katika mwenendo wa kesi yake. Sio suala jipya, sana sana haya maswali unayouliza hayaendani na kumbukumbu rasmi zilizopo juu ya suala la mauaji ya Msuya.
  6. king kan

    Maeneo yapi kwa Dar yana hoteli nzuri zenye faragha 100% na bei nafuu

    Hiyo ni guest house sio lodge au hotel
  7. king kan

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Ni wazi kesi ya Bilionea Msuya hujaifuatilia kabisa na unaleta stori za vijiweni. Jamaa aliuawawa kutokana masuala yake ya biashara hizo hizo za madini baada ya kuhitilafiana na wenzake. Kwenye suala la huyu mama ni mazingira ndio yanamtia hatiani. Inawezekana marehemu Aneth pia alikuwa ana...
  8. king kan

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Ok hapo sawa. Kwa miaka mitano ni sahihi kabisa.
  9. king kan

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Unawekeza kiasi gani na kwa frequency gani?
  10. king kan

    Wanaume jiandaeni kupokea maisha baada ya kustaafu

    Maisha yana mkanganyiko sana. Ushauri wako wa kujiandaa na kustaafu ni muhimu sana na nashauri usijiandae ukifika miaka 45 unaweza kuwa umechelewa pia. Jitahidi uanze kujiandaa pale unapoanza kazi ndio maana hata akiba ya pensheni huwekwa mara unapoanza kazi. Jitahidi sana kuwa na tabia ya...
  11. king kan

    Tetesi: Gervais Milton kuchukua Nafasi ya Chongolo CCM

    Gervas Milton ndio nani? Wasifu wake ni upi? Hata google haonekani
  12. king kan

    List ya club zilizopeleka wachezaji wengi AFCON 2024

    TZ nzima ni aliyeitwa DRC ni Inonga pekee
  13. king kan

    List ya club zilizopeleka wachezaji wengi AFCON 2024

    Yanga imepeleka 8 akina nani?
  14. king kan

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Kwa kawaida ni heri ununue bati kwa vipimo. Bati la kipimo linakusaidia kununua exactly vipimo unavyotaka toka Kiwandani na kupunguza waste (vipande ambavyo huitaji). Pili kwa mfano unaezeka sehemu ya urefu wa mita 9 (za bundle itahitaji nne kufidia na overlap) wakati za kupima unaweza kununua...
  15. king kan

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    kwa lay man haya uliyoandika hawezi kuelewa hasa habari ya vipimo vya Mpa. Na hata upimaji kwa siku itategemea kama simenti husika ni N au R grade. N ndio hufuata zaidi kanuni hiyo ya kupima uimara kwa siku hizo, R hupata uimara mapema zaidi.
  16. king kan

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Mohamed maswali hayo uliyouliza ni ya zamani sana. Vipi kwa sasa hali ikoje? Shule za kiislam zinaperform vipi? Kwa nini hamuendelezi chuo chenu?
  17. king kan

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Kwa kifupi 32.5 na 42.5 ni viwango vya uimara wa simenti ikikauka. 42.5 ni simenti imara zaidi kulinganisha na 32.5. Kwa kazi kubwa tumia 42.5 na 32.5 kwa ujenzi mwepesi.
  18. king kan

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Mabati kivipimo yana şifa kuu tatu; 1. Ujazo (thickness) au gauge (geji kiswahili cha mtaani). Hii ni kipimo cha unene wa bati ambapo bati nyingi ni kati ya gauge 26 na 32. Kadili number inavyokuwa kubwa ndio ujazo unapungua na bei pia huzidi kushuka. Unashauriwa kwa ujenzi wa majengo tumia...
  19. king kan

    Alifanya kazi saiti kwa pesa yake, sasa simu haipokelewi na bosi haonekani

    Naiona changamoto ya conflict of interest. Lakini kwa kuanzia aongee na DED wake kwanza. Akishindwa amcheki RAS akibounce hapo kuna route ntakushauri later. kwa kuwa jengo limeisha aandike barua ya kukabidhi kazi kwa sababu bila kukabidhi itaonekana kazi haijakubalika na kutoa mwanya wa...
Back
Top Bottom