Search results

  1. Btwiz

    LATRA: Stendi binafsi za mabasi ya mkoani siyo halali lakini zina vibali

    Airport Mbona ni moja tu na watu hawalalamiki. Stand ya magufuli kama ikitumika ipasavyo mji utaongezeka kukukua kwa KASI sana na selikali ikapata ongezeko la kodi.
  2. Btwiz

    Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

    Unaweza ondoka wewe ukamwacha father A.K.A babu akawa Bado anatumia oxygen ya mungu . Mshukuru mungu kwa yote
  3. Btwiz

    Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

    Duh kweli ndugu yangu umeisha wamekushika pabaya ushauli wann apo unataka wakati majibu unayo.
  4. Btwiz

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

    Pole sana , baadhi ya askari ni waonevu wana roho mbaya sana kama sio binadamu . Madalaka ya kulevya ni mabaya sanaa. NDUGU YANGU ALIFUNGWA MIAKA 30 JELA kwa kosa la ajabua ajabu la kutungwa tu ila mungu mwema alikaa miaka 5 tu akakata rufaa akashinda . ( walimuangamiza bure kabisa)
  5. Btwiz

    Tyles za linglong zinauzwa wapi kwa bei ya jumla (size 15)?

    Naomba msaada wa kujua tyle za linglong zinapopatikana na bei zake kwa jumla , hasa size 15 na 14 . Massada wenu kwa anaefahamu
  6. Btwiz

    Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Mtimbira/malinyi
  7. Btwiz

    Mwenye kujua anijuze

    Natafuta-‘ bampa la mbele , complesa, na difu ( complete) Ya Gari Noah field tour. Naomba kukujuzwa gharama zake na zinapo patikana.
  8. Btwiz

    Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo

    Hakuna uhalisia wa hi kitu ni story ya kubuni , nipo kariakoo mwaka wa kumi sasa sijawahi kuona baya pale ! Maisha ya pale yanahitaji uaminifu tu! Biashara za kichawi zilisha potea zamani !
  9. Btwiz

    Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Haina haja ya kupima , mwanamke umemkuta si bikra sasa DNA ya nn , apo ni kutafuta Kabuli au majengo ya selikali
  10. Btwiz

    Vibanda vya machinga na mama ntilie Posta Dar ni kero kubwa

    Mnaodhani mmefanikiwa mnashida sana! Siku mkiumwa mnaomba misaada ,uyo uyo anae uza mihogo posta Ndio atakae toa mia yake kukutumi mchango! ,Boresha kwako uwe na uhuru na upendavyo.
  11. Btwiz

    Maduka ya GSM hayana jezi mpya za Yanga

    Biashara haina impaka ndugu yangu, worldwide
  12. Btwiz

    Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    Tutumie picha ya nyumba yako unayoishi tuone kama ya kijanja - unapenda kuvidunisha vitu kama umezaliwa USA.
  13. Btwiz

    Wakubwa wamekuwa wengi, ving'ora vimezidi

    Unataka uongozane nae ??
Back
Top Bottom