Search results

  1. M

    Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

    Duuu hii mbona kali, coz kuna mikoa ambayo ukiangalia kabisa unaona kuna ulazima wa kugawa, mfano ni mkoa wa Morogoro mkubwa sana, lakini Chato uwe mkoa hii kali
  2. M

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mie naamini ni kweli yani Musoma ni mkoa upo kimya sana hasa kimaendeleo ukilinganisha na mikoa mingine mfano Iringa. Mie nimekaa sana mji Mdogo unaitwa Mafinga lakini kuna maendeleo ile mbaya kuliko hata Musoma ambako ni makao makuu ya mkoa
  3. M

    Je kozi ya wildlife inapatikana vyuo gani na soko lake la ajira likoje?

    Nenda SUA pale but wanachukua wachache sana wenye ufaulu wa juu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Wapi nitapata Mashine ya kukamua maziwa ya ng'ombe na bei zake zikoje?

    Aisee mie nimesoma pale SUA hizo machine zipo kama mbili tu, tulikuwa tunatumia japo ng'ombe wapo wengi. Ila ni kwamba zinauzwa bei kubwa sana tofauti na tunavyofikiri, wastani ni kama Tsh milioni 40 hadi 60. Post sent using JamiiForums mobile app
  5. M

    Nijipange kwa kiasi gani, naenda kuoa Muha wa Uvinza

    Jipange kuwa mvumilivu na kuvuta subira sana mana nasikia hilo kabila wanasifa ya kujisifia kuwa kwao kuzuri "masifa" na ubishi mwingi. Samahani lakini naomba kuwasilisha, over. Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Bachelor of science in agriculture and natural resources ecinomics and business

    Coz y'a SUA inaitwa BSc of Agricultural Economics and Agribusiness lakini hii ya mkuu aloandika ni kiboko
  7. M

    Mwanamke shujaa aliyegoma kuhama kupisha ujenzi wa mgodi wa GGM

    Anataka chake afanye matumizi anayoyapenda ye, na siyo kupangiwa na mtu
  8. M

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mara secondary iliyopo Musoma umenisahau mkuu, Whatsap 0753562292
  9. M

    IKULU, Rais Magufuli akutana na Wakuu wa Mikoa na kuwaagiza wagawe mashamba yasiyoendelezwa

    Haya kila laheri katika kutekeleza majukumu ya taifa
  10. M

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Nitumie ya Mara secondary iliyopo Musoma. Whatsap 0753562292
  11. M

    Ushauri wa kichochezi: Rais Magufuli anzisha chama chako na uhame CCM

    Napenda kuuliza hivi nuru na giza hukaa pamoja? Hivi ndivyo ilivyo ukitaka nuru lazima ukubali kuhama gizani uende huko kwenye nuru, Ndiyo maana mchana na usiku vinaachana, haiji tokea vikachangamana..... My view....... Think more
  12. M

    Ukweli kuhusu chuo ulichosoma.

    Kwa SUA hujakosea yani pale hata muda wa kupumzika hamna hafu matokeo yakitoka disco kibao hadi inaogopesha
  13. M

    Wanunuzi wa mpunga/mchele karibuni

    Mie najishughulisha na biashara hiyo japo mie nipo Kilombero, kwahiyo niPM tuweze shea idea
  14. M

    TANESCO wameweka nguzo katikati ya kiwanja changu

    We cha msingi na mfereji wafuate Tanesco kawaeleze naamini watakuja kuiondoa
  15. M

    Napenda kujua kwanini mume na mke wakiishi pamoja muda mrefu wanafanana?

    Daaa hapo mkuu, refers to Bahati Bukuku song...... Nataka kufanana nawe maishani mwangu
  16. M

    Chenge,Werema: Tume imedanganya kiasi kilichopo kwenye mchanga, wajivua lawama

    Kirukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake, watajitaja wenyewe mmoja hadi mwingine
  17. M

    Nafasi za kazi 43 SADC

    Naomba ushauri wanajf, hv Agricultural Economics naingia hapa
Back
Top Bottom