Search results

  1. S

    Watumishi wa umma sasa kwisha

    Naunga hoja Halmashauri kumeoza Nashauri hata Idara zingine zihamie kwenye Wizara zao
  2. S

    Hatima ya RC Makonda mikononi mwa wabunge wa CCM

    Pamoja na kutokuwa na elimu ila ana ubunifu wa hali ya juu binafsi naanza Kumsupport
  3. S

    Joseph Musukuma Kasheku (mb) Geita Vijijini usiwadanganye watanzania

    Cii kweli husababishwa na maafisa Ardhi ambao ndio wasomi
  4. S

    Joseph Musukuma Kasheku (mb) Geita Vijijini usiwadanganye watanzania

    Sio Geita hata kanda ya ziwa kuna kina Zacharia Ndegesera Lushanga Ghachuma Lema Lord minja La kairo Lugumi Kishimba Maduhu
  5. S

    Joseph Musukuma Kasheku (mb) Geita Vijijini usiwadanganye watanzania

    Nakuunga mkono mbona wengi ni wahindi na waarabu na ukifatilia wengi wamerithi toka kwa wazazi wao.
  6. S

    Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

    Yeye cii anafukuzwa baada ya miaka ya 10
  7. S

    Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

    Mbona laki mbili nyingi sana. hata makonda mwenyewe atamshangaa
  8. S

    Ally Kessy awacharukia na kuwapa makavu Wazanzibar

    Ni muumini wa serikari tatu awe wazi
  9. S

    Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Musukuma, ataka Wabunge walioishia Darasa la 7 nao watimuliwe Bungeni

    Uonevu kwa sababu masharti yaliruhusu.halafu kiuhalisia mafanikio mengi yamepatikana kupitia kwao.madawati,maabara,madarasa zahanati na makusanyo mengi ya halamashauri
  10. S

    Hongereni Mtibwa

    Umepata matokeo
  11. S

    Hongereni Mtibwa

    Kwani kwenye VPL waliifunga?
  12. S

    Hivi kwanini uongozi wa TFF wanampiga vita Wambura?

    Unavyomfungia mwenzio maisha ina maana wewe utakaa maisha hapo TFF mie nadhani wangemfungia kwa kipindi chao tu
  13. S

    Je, ni sahihi mtu mwenye stashahada kumuongoza mtu wenye shahada akiwa kama bosi wake?

    Inategemea mda aliokaa kazini kama ana zaidi ya miaka 12 ameshakuwa mwandamzi hata mshahara wake ni Mkubwa kuliko MTU wa degree mfano idara ya kilimo mwenye diploma na zaidi ya miaka 12 ni Afisa kilimo msaidizi mkuu daraja la kwanza TGS G wakati wa degree anaanza na TGS D hivyo kama ni mzee ni...
  14. S

    Wananchi Ilemela Jijini Mwanza wajutia kumchagua Angelina Mabula kuwa mbunge

    Unajidanganya ilemela ni mchanganyiko wa makabila mengi
Back
Top Bottom