Search results

  1. Nyabutoro

    Sababu za mashirika ya umma kufanya vibaya kwenye ripoti ya CAG

    Tumeona katika ripoti ya CAG kuwepo kwa mdafudu mengi na hasa katika mashirika ya Umma, jambo hili pamoja na mambo mengine limesababishwa na yafuatayo; MOSI: Mashirika kunyanganywa uhuru wa kujiendesha. Jambo hili kwenye mashirika haya liliondolewa na hasa kwenye awamu ya 5 ambapo mashirika...
  2. Nyabutoro

    Tunahitaji Tume ya Muafaka wa Kitaifa

    Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa kisasi. Kwa uchache wanatajwa Sabaya, Makonda na wengine. Ili tuoneshe ustaarabu uliotukuka kwa...
  3. Nyabutoro

    Kidogokidogo CCM wanaanza kujifunga kitanzi

    Wa kale walisema "Mdomo uliponza kichwa'' Tulianza kidogokidogo kuyaona matendo ya utekaji, uzuiaji wa mikutano, udhibiti wa vyombo vya habari nk kama mambo madogomadogo.Kwa sasa yameungana haya mambo madogomadogo na kuwaamsha wanaotawala dunia, wale wanaoamua nani atawale wapi. Kwa CCM hii si...
  4. Nyabutoro

    Adhabu za mauaji ya Kimbari ni kwa waliotumia bunduki na mapanga tu?

    Nauliza tu. Mhakama ya kimataifa imekuwa ikiwashighulikia wale ambao wamesababisha mauaji ya watu wengu, je kama mtu ni kiongozi na amekaidi kufuata maelekezo ya kitaalamu katika ugonjwa uliotangazwa kama janga la dunia na mbaya zaidi watu wengi wakafa kwa ukaidi ule sheria ya mahakama ya The...
  5. Nyabutoro

    Kwa kaya yetu hii namwona mkuu KITI kimemkataa

    Jumapili iliyopita nilisali katika kabisa fulani hivi ambalo Mchungaji wake aliamua kuondoka katika kalenda ya kanisa na mahibiri yake kuyaelekeza kwenye KITI Alisema namnukuu '' kiongozi mzuri akishika madaraka hushughulika na kiti anachoenda kukalia kabla ya kushughulika na mamlaka yake...
  6. Nyabutoro

    China na korea kaskazini mpya kusini mwa jangwa la sahara

    Leo tarehe 22/03/2019 imezaliwa Jamhuri Mpya, Jamhuri inayoamini katika utendaji kazi na uadilifu usiohojiwa. Ni Jamhuri ambayo imeweza kijipambanua kutotaka mabeberu wala wala rushwa. Naamini kwa sasa ndani ya Jamhuri hiyo hakuna mtu wala taasisi yenye uwezo wa kusimamisha mpango huo wa kuwa...
  7. Nyabutoro

    Athari za kuanza mpira kabla ya kutunga sheria na kanuni zake

    Ni sawa na kuanza ujenzi wa nyumba bila ramani.Nimekuwa nikiwaza mbali kwamba wakati tuaomba Uhuru wetu toka kwa wakoloni kama bara/mataifa ya Afrika sehemu kubwa hatukuwa tunajua tunataka nini na tukipewa Uhuru tunataka kuelekea wapi. Tukafanya kosa jingine LA kufuata mkumbo wa demikrasia ya...
  8. Nyabutoro

    Nauona muda uliotabiriwa na mwalimu wa Mwitongo unakaribia

    Tulianza na majibizano makali ya hoja kati ya chama kinachitawala kijiji chetu na kile chama mbadala, walioshindwa kwa hoja wakaanza kutumia mabavu, wakashinda.Hawakuishia hapo wakawageukia wanaopenda kuleta hoja fikirishi ndani ya chama kinachotawala kijiji, wanakaribia kuwashinda.Mtifuano wa...
  9. Nyabutoro

    Wafanyakazi wa Tanzania wameishiwa subira

    Babu yangu aliwahi kuniambia hivi " watu wakikosa wa kuwasememea katika jamii ujue jamii hiyo inakaribia kutumbukia katika Fujo" Wafanyakazi wa Tanzania kama kundi muhimu katika jamii hwana tena wa kuwasemea, vyama vya wafanyakazi vimetiwa mfukoni, vyama vya siasa kwisha kabisa. Katika hali...
  10. Nyabutoro

    Je, wafanyakazi TWAWEZA kufungua shauri la kupinga sheria mpya ya hifadhi ya jamii?

    Habari wadau. Hivi karibuni serikari yetu ya Jamhuri ya Muungano imepitisha sheria mpya ya hifadhi ya jamii ambayo kimsingi ni kandamizi na ni ya kiwizi.Sheria hii pamoja na mambo mengine inatoa asilimia 30 ya mafao ya mkupuo na kuendelea kumlipa mstaafu mshahara kwa miaka 12.5 baada ya hapo...
  11. Nyabutoro

    Uwezekano wa kuanzisha chama kipya cha siasa

    Habari za weekend wana JF. Nikiwa nimetulia nyumbani weekend hii nimejukuta nikiwaza mambo mbalimbali yanayoendelea katika siasa za Taifa letu pendwa la Tanzania na kujikuta nawaza kwa sauti uwezekano wa kuanzishwa chama kipya cha kisiasa.Chama hiki nawiwa kusema kinaweza kuanzishwa kabla ya...
  12. Nyabutoro

    Mitandao ya simu kuweka sauti za miito kwa watumiaji bila ridhaa yao

    Habari wana jamvi. Leo nineona ni vema kuwashirikisha katika jambo hili ambalo limekuwa likifanywa na mitandao ya simu bila ridhaa ya mtumiaji.Jambo lenyewe ni kuwekewa mwito unaosikilizwa na anayekupigia bila wewe kuuridhia.Mfano unawekewa wimbo wa mapenzi/kutongozana alafu ukipigiwa na mama...
Back
Top Bottom