Kidogokidogo CCM wanaanza kujifunga kitanzi

Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,340
1,590
Wa kale walisema "Mdomo uliponza kichwa''

Tulianza kidogokidogo kuyaona matendo ya utekaji, uzuiaji wa mikutano, udhibiti wa vyombo vya habari nk kama mambo madogomadogo.Kwa sasa yameungana haya mambo madogomadogo na kuwaamsha wanaotawala dunia, wale wanaoamua nani atawale wapi.

Kwa CCM hii si dalili njema, wanaweza kuja kujuta wakiwa wamechelewa.
Tunachoomba kwa Mola hiki ni chama kikubwa, kuondoka kwa mizizi yakwe kwaweza kuangusha na nyumba za mbali, Mungu tusaidie.
 
Hii kitu ni shida
IMG-20200609-WA0015.jpg
 
Mtu anaenda kunywa Faru John huko unategemea nini halafu mnasema kavamiwa mbona miwani haikuvunjika kama alivamiwa
 
CCM na watanzania mnapoishamirisha CCM mnajichimbia shimo wenyewe sisi wengine hatuna Cha kupoteza.
 
CCM na watanzania mnapoishamirisha CCM mnajichimbia shimo wenyewe sisi wengine hatuna Cha kupoteza.
Kama ni mtanzania cha kupoteza kipo, waswahili husema " Mchuma janga hula na wa kwao" janga LA CCM linaletwa na ndugu, tutakula nao tu.Unaweza usiguswe, mjomba je? Shangazi je? ndio hivo.
 
Wanaochangia hao ndio viongozi wa kesho, ni zao la jamii yetu, tuombe sana.
Kama Mada zinachangiwa hv jf itaonekana ya kipumbavu sana mtu kaleta hoja zake watu wanale chupa kwenye mada jf inawakenulia macho tu piga ban ya maisha.
 
Kama ni mtanzania cha kupoteza kipo, waswahili husema " Mchuma janga hula na wa kwao" janga LA CCM linaletwa na ndugu, tutakula nao tu.Unaweza usiguswe, mjomba je? Shangazi je? ndio hivo.
Mkuu kuna watu wanajitoa kwa Hali na mali ili kuitengeneza Tanzania Bora. Lissu kupigwa risasi na mbowe anapitia tanuru la Moto kwa niaba ya watanzania lakini watanzania hawaelewi hivi unadhani mbowe na Lissu wakiacha siasa Wana Cha kupoteza?
 
Back
Top Bottom