Adhabu za mauaji ya Kimbari ni kwa waliotumia bunduki na mapanga tu?

Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,340
1,590
Nauliza tu.

Mhakama ya kimataifa imekuwa ikiwashighulikia wale ambao wamesababisha mauaji ya watu wengu, je kama mtu ni kiongozi na amekaidi kufuata maelekezo ya kitaalamu katika ugonjwa uliotangazwa kama janga la dunia na mbaya zaidi watu wengi wakafa kwa ukaidi ule sheria ya mahakama ya The Hague inasemaje.

Nataka kujua tu.
 
Mimi sio mtaalam wa sheria, ila huyo inabidi mumsubiri kwenye mahakama zenu za ndani, huko kimataifa haguswi na sheria za kimataifa
 
Ndio ujue ccm haitegemei kura ili kushinda wako radhi kuuwa wapiga kura wote halafu waanze kutawala miti na mifugo
Hii nchi BWANA, yaani nyie mnakufa kwa kukosa mashine za kusaidia kupumua, wakiumwa watoto wao bundi anatumwa hadi ughaibuni kwenda kuchukua kikombe cha Babu ili mtoto asife.

Mimi ndio maana nikashangaa, mbona vikombe vimekuja kwenye mikoba kumi na tatu tu?

Ndio maana Yule mjumbe akapiga kikombe chake fasta, maana angechelewa kidogo, angekosa dawa na kubaki katumbua ile mimacho Yake
 
Ukicheki, ile movie ya "shake hands with a devil",na ukakisoma kitabu hicho hicho cha yule general aliyetabiri mauwaji , ndiyo utajua mauwaji ya kimbali yalikuwa yamepangwa tena na whites kipindi hicho

Ama kweli Kikwete alisema, ukiambiwa changanya na zako"
 
Back
Top Bottom