Search results

  1. ndibuka

    Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  2. ndibuka

    Nahitaji mtungi mdogo wa gesi

    Habari wanajamvi nahitaji mtungi mdogo wa Gesi,,, kwa mwenye utayari tuwasiliane pm ili tufanye biashara
  3. ndibuka

    January Makamba akiri kuwa Kikwete alimsaidia

    January Makamba: Namheshimu sana Rais Kikwete Kwa Aliyonifanyia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba amesema kuwa hatokaa asahau mambo makubwa ambayo raisi mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alimfanyia kama mwanasiasa...
  4. ndibuka

    Natafuta mchumba

    Mie ni kijana mwenye miaka 29, elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu nafanya kazi katika shirika natafuta mke mwenye sifa zifuatazo. 1. Awe mrefu mweusi mwembamba kiasi 2. Awe mkristu wa kweli 3. Kipato na elimu sio issue sana. Kwa alie tayari anifuate pm
Back
Top Bottom