Sayansi imeshaelezea uumbaji wa vitu vyote ulivotaja hapo. Ni swala la muda tu lakini sayansi inatoa majibu ya vitendawili vingi anavyojiuliza mwanadamu. Imagine maswali waliyokuwa wanajiuliza mababu zetu miaka ya zamani leo hii yashapatiwa ufumbuzi
ila bible haina utoto au sio...hahaha! IMANI NI UPOFU!. me nadhani mtu makini ni yule anayeuliza kila kitu na kuchunguza kila kitu kabla ya kukikubali. Dini wameletewa babu zetu nasi tumezaliwa tumezikuta. Mtu makini ni yule anayechunguza kutaka kujua ukweli, usiwe mpofu wa dini. inawezekana...
Mkuu sijakuja kubishana ila maswali yako ya asili ya mfumo wa jua na dunia yanajibika kisayansi tena ukifatilia utaelewa vizuri tu. Soma makala mbalimbali au search youtube utapata majibu yote. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.