Search results

  1. F

    Rais Samia: Mwalimu Nyerere aling'atuka ili kuruhusu Mageuzi ya Kiuchumi na hayati Mwinyi alipewa Kazi ya kuleta Mageuzi!

    Mwalimu alikuwa ni kichwa Cha pekee sana ,Tanzania tunayoiona Sasa ni kazi ya akili yake tukatae tukubali huo ndio ukweli mchungu.
  2. F

    Ubabe wowote ule kuhusu suala la NHIF utazidisha mgogoro

    Kwa mtazamo wangu, Serikali ilichofanya ni sahihi na ndio kinachotakiwa kufanyika. Huu ni mwanzo nzuri wa Serikali kutambua mambo 3 haitakiwi kuyabinafsisha. La kwanza, huduma za Afya. La pili, elimu. Tatu, maji. Hizo huduma 3 iziwekee mkazo wa kutosha na kuhakikisha mazingira yanaandaliwa...
  3. F

    Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Like father like son, baada ya miaka 5 ya kipindi chake atakuwa kazidi miaka 35 umri sahihi wa mtu kuitwa kijana.
  4. F

    Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Tukija kuwasimulia wajukuu zetu kwamba ndani ya miaka 6 ,mwamba alianzisha mikubwa vile Tena Kwa pesa za ndani watahisi tunawafunga kamba. Apumzike Kwa amani
  5. F

    Maeneo 9 yaliyoguswa na Sera Mpya ya Elimu Tanzania

    Syllabus nyingi duniani ni miaka 12 toka msingi mpaka sekondari yote
  6. F

    CCM yapoteana Mwanza, yashindwa kujibu hoja za wananchi kuhusu Mkataba wa Bandari. Msando apanda jukwaani na Mganga wa kienyeji

    Kinachofurahisha waliojitokeza kwenye mkutano wa CCM pale mwanza ni wengi kuliko wote waliojitokeza kwenye mikutano yote ya CHADEMA ukiwaweka pamoja.
  7. F

    Sasa rasmi walimu kuajiriwa kupitia usahili

    Namshukuru Mungu sana haki ikatendeke
  8. F

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen
  9. F

    Nyuma ya Pazia : Wanafunzi wa shule ya Msingi Bunge Washiriki maandamano ya BAWACHA , Walipuka kwa shangwe , Waonyesha alama ya vidole viwili

    CHADEMA mna dhambi isiyosameheka kweli kabisa mnawatendesha dhambi watoto wasio na hatia kwa kuwaandamanisha? Kweli migomo/maandamano na CHADEMA ni Kama uji na mgonjwa
  10. F

    Kama sio Magufuli vitu hivi visingekuwepo Tanzania Milele

    Mada inaongelea mambo makubwa lakini umetoa comment dhaifu sana sisi kama Great thinkers tunasema umeutenda vibaya uzi
  11. F

    Ikulu ya Chamwino kufunguliwa Rasmi Mei 20, 2023

    Unazinduliwa kabla ya kuanza ku Unazinduliwa kabla ya kukamilika au baada ya kukamilika kwa mradi? Kama ni kabla ya kukamilika kwa mradi usiwe mwepesi wa kusahau miradi mingi tunaona akishuhudia utiaji wa saini lakini kama ni baada ya kukamilika tuache unafiki mradi upi mkubwa unakamilika kwa...
  12. F

    Kama sio Magufuli vitu hivi visingekuwepo Tanzania Milele

    Ninachojiuliza mpaka sasa aliwezaje kufanya yote kwa kipindi kifupi hivi? Nilienda handeni kipindi fulani mwamba aliibadili mpaka nikawaza inaweza kuwa jiji siku moja. Aliwezaje?
  13. F

    Ikulu ya Chamwino kufunguliwa Rasmi Mei 20, 2023

    Mwamba Magufuli bado anaishi hakika, katuachia ikulu, makao makuu na mji wa kisasa kabisa Afrika mashariki na Kati wa Magufuli city. Dodoma kweli panapendeza
  14. F

    Mnaotumia soda ya coke mnaona ipo sawa?

    Sio mtumiaji wa soda na hapohapo ulipokunywa ukaona radha ipo tofauti, sasa huo utofauti umeujuaje ikiwa sio mtumiaji? Nijibu hili swali tafadhali
  15. F

    Nawaza kwa sauti ikiwa huu ndio mkakati wa UPINZANI" Kumnanga Magufuli halafu 2025 kumtumia kwenye kampeni"

    Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM wanavyomchukulia Hayati Magufuli. Kama ndivyo basi CCM. Machoni mwa wengi sana Hayati Magufuli ni shujaa...
  16. F

    Baada ya kumsikiliza Bashe, Rasmi natamka Wizara ya kilimo haina waziri ina Mwanasiasa

    Marekani wanaweka mpango wa hadi miaka 50 na hakuna anayelalamika utekelezaji wake ukiwa ndio umeanza na Mara nyingi matokeo ya awali huwa ni ya kukatisha tamaa sijui hapa bongo tumelogwa na nani kutamani matokeo ya mpango w muda mrefu ndani ya muda mfupi. Tumpe muda kwa sababu mikakati...
  17. F

    Mpina unanipa Raha sana

    Umesahau hata msemo wa raha jipe mwenyewe kweli
Back
Top Bottom