Search results

  1. E

    Tumehamia Dodoma kwa Usalama Wetu na Kuwa Karibu na Wananchi

    Miaka ile ya enzi za Mwl. Nyerere tuliamua na kukusudia kuhamia Dodoma tukiwa na sababu kadhaa. Miongoni mwa hizo ni pamoja na: Mosi, nchi yetu haikuwa salama sana kutoka kwa maadui wa nje. Tanzania ilikuwa ni nchi moja kati ya sita wanachama wa Nchi Sita za Mstali wa Mbele wa Ukombozi wa...
  2. E

    Kupaka rangi Nissan Safari (black metalic)

    Naomba kujua makadilio ya gharama za kurudia rangi kwa gari Nissan Safari. Gari hizi nissan safari/patrol huwa zinachakaa kipaa cha juu cha gari.
  3. E

    POLISEZ: Alipotokeza Kushangilia Vifo vya Polisi Kibiti Alikamatwa Muda Ule Ule.Wa

    Alipotokeza kushangilia waliomjeruhi Mh. T. Lissu akilaumu mbona hawakumwua, polisi hawajahangaika naye. Mwingine aliomba amwue Lissu hawakumsumbua. Ila yule aliyeshangilia kuuawa kwa askari nane huko Kibiti walimsaka mara moja. Natamani nifike.
  4. E

    Naomba Kujua Ulaji wa Mafuta(Diesel) wa Nissan Safari Engine TD 4.2

    Waungwana naomba msaada mnifahamishe ulaji mafuta wa Nissan Safari, Automatic gear, TD 4.2. Kuna ndg kaniambia ni lita 18/ 100 km. Na mtu mwingine kasema wastani ni 5 - 6.2 lt/ 100 km ikitegemea unaendasha rough road au town. Usahihi ni upi?
  5. E

    Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

    I was going to cry when I read this speech from the prime minister of Israel Benjamin Netanyahu, but at the end I say glory to God. Let's read together Mr. Nethanyahu said: Only 70 years ago! The Jews were taken to slaughter like sheep. > 60 years ago! > no country. No Army. Seven Arab...
  6. E

    Eti, Huenda! Ufisadi Mkubwa Kabla ya Uchaguzi Mkuu Chama Kinahusika?

    Ndoto naisimulia hapa, ufisadi mkubwa wa kutikisa nchi hufanyika mwaka au miaka 2 kabla ya uchaguzi mkuu. Aidha, uporaji mkubwa kwenye mabenki hufanywa kabla kidogo tu ya uchaguzi mkuu. Bado nasimulia ndoto yangu, sasa kwa nini hujuma hizi kihistoria hutokea kabla ya uchaguzi mkuu nchini. Je...
  7. E

    Naiondoa na Ku-'delete' Channel 10 kwa kurusha habari za Makonda

    Naiondoa na kuifutilia mbali Channel 10 kwenye kisimbusi changu tangu leo kwa maana imetoa coverage ya taarifa za ndugu Makonda
  8. E

    Natafuta wanasheria watakaonisaidia kukiburuta chuo kikuu cha Dar es Salaam mahakamani

    Seneti ya UDSM ilifuta ghafla uanafunzi wangu kwa sababu zilizosababishwa na uzembe wao. Nimefuatilia haki yangu hiyo tangu miaka ya 2008. Mara zote wananipa majibu yanayokinzana. Natafuta wanasheria watakaonisaidia kukibuluta chuo kikuu cha Dar es Salaam mahakamani.
  9. E

    Kimya kimya! Nakuuliza. Huduma Bure Mama Wajawazito Muhimbili Zimefutwa?

    Great Thinkers na JF chungu cha taarifa, mnisaidie, jirani yangu ana mke mjamzito anayetarajia kujifungua kwa oparesheni. Mume ameambiwa aandae Tzs 560,000 akijumlisha pamoja na kulazwa na dawa awe na jumla ya Tzs 760,000. Swali langu ni hili. Je! Huduma Bure za Afya kwa Wajawazito Zimefutwa...
  10. E

    Kongamano la Maombi Tanzania Tumpate Rais Mteule wa Mungu Hapa Tanzania

    Kanisa la EAGT - Makabe, Mbezi -Luis, lililopo Mtaa wa Mgazija LINAWAALIKA watu wote pasipo kujali imani wala dini zao kushiriki kwenye kongamano hili la KUOMBEA TAIFA. Tupate RAIS Mteule wa Mungu wa Mbinguni na si vinginevyo. KONGAMANO: Litaendeshwa na Mch. Essau na Mwl. & Mwinjilisti...
  11. E

    Kongamano la Maombi Tanzania Tumpate Rais Mteule wa Mungu

    Kanisa la EAGT - Makabe, Mbezi -Luis, lililopo Mtaa wa Mgazija LINAWAALIKA watu wote pasipo kujali imani wala dini zao kushiriki kwenye kongamano hili la KUOMBEA TAIFA. Tupate RAIS Mteule wa Mungu wa Mbinguni na si vinginevyo. KONGAMANO: Litaendeshwa na Mch. Essau na Mwl. & Mwinjilisti...
  12. E

    Je! Biashara ya Visimbusi vya QSat, XMaster na Huduma zake ni Halali?

    Wakuu katika jukwaa hili tafadhali naomba kuelewa juu ya hii biashara na huduma ya visimbusi vinavyotangazwa na baadhi ya wanajamii humu kwamba kupitia visimbusi hivyo unapata dstv, zuku, aljazeera bure. Je! Huduma hiyo ni halali au ni wizi kama wizi mwingine? Naona ni biashara iliyoenea...
  13. E

    TV ya Jeshi la Marekani Yaonesha Dar na Vitongoji Vyake Live

    Ama kweli dunia ni kijiji, leo jioni saa 11:00 kwa saa za EA kituo kimoja cha TV cha jeshi la marekani kilionesha live bila chenga jiji la Dar na Vitongoji vyake. Wameonesha msongamano wa magari bara barani; harakati za ujenzi wa barabara; vijambo na mambo ya matukio ya mitaani. Kubwa zaidi...
  14. E

    Iko Wapi CCM Yetu? John Malechela Tujibu, au Alli H. Mwinyi tujibuni

    Iko wapi CCM yetu? Iko wapi ile CCM tuliyosoma katiba yake sekondari? Iko wapi CCM yetu? Ali H.Mwinyi tuambie iko wapi CCM yetu? CCM ile iliyotufanya tujisikie fahari zama zile, Tulipokuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ngazi ya Shina tulipokuwa JKT Tukilitumikia Taifa kwa mujibu wa sheria.Iko...
  15. E

    Kisimbusi cha GTV?

    Kuna watu wengi, kama mimi wana visimbusi vya GTV. Je, wadau hivi hakuna namna yoyote ya kuvitumia visimbusi hivi kwa mazingira na miundombinu ya ki-tanzania kwa sasa? Msaada pliz!
  16. E

    CCM Wameamua Kuchagua Kusimamia na Kutetea Udini Badala ya Kusimamia Sheria

    CCM ndiye baba wa Tanzania tangu uhuru. Malezi ya baba huyu kwa watoto wake yaliegemea siasa zaidi ambazo udini ndio umekuwa muhimili mkuu. Tangu miaka ya 1970 serikali ya CCM ilihakikisha kwamba "Katiba" ya Tanzania haiingizwi kwenye mitaala ya shule za msingi, sekondari na vyuo. Mkazo uliwekwa...
  17. E

    Nina Laptop iilikuja na vista home basic inaniambia actuivation date 43 days remain

    Naomba msaada nina laptop ilikuja na OS Vista Home Basic, ili-corrupt nika-reinstall Vista home basic nikitumia key product iliyo bandikwa chini ya laptop yenyewe. cha ajabu inasema activate, ninapoa-activate inanitaka ni nunue key nyingine. Sina uwezo wa kununua nyingine na sioni sababu ya...
  18. E

    Vijiji Feki, Miradi Feki: Iko Haja ya CAG Kufuatilia Miradi Iliyokamilika

    Leo katika kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma, mmoja wa wabunge waliokuwa wakichangia na kuijadili hotuba ya waziri wa maji amesema kijiji kilichooneshwa kwenye ripoti ya waziri husika juu ya utekelezaji wa bajeti iliyopita, kwamba kijiji hicho hakipo. Madai haya ni mazito, na kwa...
  19. E

    Bajeti 2013-14 Imejaa Mafungu ya Uchaguzi Kuisadia CCM Kushinda

    Bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma kwa kiasi kikubwa linajadili bajeti isiyo na maslahi yo yote kwa wananchi; ni bajeti ambayo inatakwimu na maelezo mengi ya kisanii.Mathalan, bajeti ya wizara ya kilimo, haina mahali popote inapoonesha kushughulikia matatizo ya kukwamua kilimo na ufugaji...
  20. E

    Please, Msaada Serial key za Win Vista Ultimate

    Wana JF naomba msaada wenu, mnisaidie CD_Key za Windows Vista Ultimate na Windows 7 Ultimate. Nina laptop ya kununua mkononi ambayo imezima OS ikinitaka niweke CD_Key kwa ajili ya ku-activate
Back
Top Bottom