Nina Laptop iilikuja na vista home basic inaniambia actuivation date 43 days remain

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Naomba msaada nina laptop ilikuja na OS Vista Home Basic, ili-corrupt nika-reinstall Vista home basic nikitumia key product iliyo bandikwa chini ya laptop yenyewe. cha ajabu inasema activate, ninapoa-activate inanitaka ni nunue key nyingine. Sina uwezo wa kununua nyingine na sioni sababu ya kununua nyingine wakati hii product key ni genuine. Nifanyeje. imebaki siku moja tu.
 
download window vista activator then activate na turn off window update massege
 
Ahsante sana. Nilii-activate kwa kutumia Windows 7 Activator ikakubali. Pia nimeshauriwa ni achane na Vista.Nimeambiwa nitumie Windows 7 nimejaribu kui-download inashindikana, nifanyeje?

Kama inashindikana kudownload itabidi ununuwe. Upo wapi?

Ahsante sana. Nilii-activate kwa kutumia Windows 7 Activator ikakubali. Pia nimeshauriwa ni achane na Vista.Nimeambiwa nitumie Windows 7 nimejaribu kui-download inashindikana, nifanyeje?

Back
Top Bottom