POLISEZ: Alipotokeza Kushangilia Vifo vya Polisi Kibiti Alikamatwa Muda Ule Ule.Wa

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Alipotokeza kushangilia waliomjeruhi Mh. T. Lissu akilaumu mbona hawakumwua, polisi hawajahangaika naye. Mwingine aliomba amwue Lissu hawakumsumbua.

Ila yule aliyeshangilia kuuawa kwa askari nane huko Kibiti walimsaka mara moja.

Natamani nifike.
 
Hata Farao aliyekuwa na Nguvu zaidi, alikwisha kabisa.
Acha watumie nguvu zao za dola, lakini ipo siku yao wajionao miungu watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom