Search results

  1. Mto_Ngono

    Ajira Portal acheni uhuni, mnacheza na Watanzania

    Mtalam.. unapozungumzia equivalent qualifications inamaana levels na sio course. Advance diploma ni equivalent to Bachelor... Ila ukisoma imeandikwa 'related' inamaana masomo yanayoendana na sio levels.
  2. Mto_Ngono

    Mahakama ya Iran yamhukumu kifo jasusi wa CIA

    Inabidi tuseme neno moja tu kwake "Burian"
  3. Mto_Ngono

    Mahakama ya Iran yamhukumu kifo jasusi wa CIA

    Hao wote ndo washatangulia mbele za haki hivyo hata wale waliohukumiwa kufungwa.. Wamekamatwa kipindi kibaya dah nawaonea huruma sana.
  4. Mto_Ngono

    Changamoto za Ajira Portal

    Suala ni kutimiza matakwa ya tangazo la kazi na kujaza taarifa zako kwa usahihi. asilimia zinakuonesha tu kwamba kuna taarifa unazotakiwa kujaza lakini hujazijaza.
  5. Mto_Ngono

    Majibizano ya risasi kwa dakika 35: Ina maana Polisi wamefundishwa kuzima risasi na kuzikwepa?

    Nadhani mojawapo ya mbinu za kivita ni kutompa mwenzio nafasi ya kujua uharibifu alioufanya kwako. Kwa kusema wameuawa wangap ni kuonesha udhaifu wa jeshi. kwa mfano Iran alipopiga kambi ya Marekani pale Iraq kwa akili ya kujiuliza unaweza jua tu kuna watu walipoteza maisha kwa kuwa kambi ile...
  6. Mto_Ngono

    Changamoto za Ajira Portal

    Nadhani bado haitakusasidia kwa kuwa unapoingia katika utumishi wa umma ukigundulika ulidanganya kipindi cha kuomba kazi hatua dhidi yako zinaweza kuchukuliwa.. nilijulishwa na mdau mmoja wa kazi.
  7. Mto_Ngono

    Changamoto za Ajira Portal

    Mnaweza kulingana lakini msifanane. naamini namna mfumo ulivyowekwa ni kozi husika au inayofanana na hiyo. matakwa ya tangazo huwekwa kwa makusudi maalumu. Kwa mfan: watu wa Engineering wanaendana katika masomo meengi lakini hawafanani katika ujuzi Industrial vs textiles engineer yapo masomo...
  8. Mto_Ngono

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nampiga mhindi 6m hatoki... Lakini kizuri wacha niwasambazie upendo na nyie mtusue...
  9. Mto_Ngono

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    we unataka zinywe mkojo au.. mafuta ndo chakula chake
  10. Mto_Ngono

    Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    jaji mfawidhi, Kuna utofauti kati ya kipindi na Miaka. Katiba imesema miaka ila imetoa nafasi kwa sheria kuangalia kuweka umri wowote unaofaa... Sheria imeweka vipindi wa utawala wa CAG na haijaweka ulazima wa kuteuliwa tena. phrase 'shall be eligible' humaanisha kuwa na vigezo stahiki (having...
  11. Mto_Ngono

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Zaidi soma: https://www.jamiiforums.com/threads/hili-la-prof-assad-kumaliza-kipindi-chake-limekaa-kisiasa-zaidi-na-siyo-kisheria.1646505/ Nianze na masahihisho kidogo, Katika Sheria(Act) itumike section/kifungu na sio ibara. Ibara hutumika katika katiba. Jambo la msingi la kujiuliza katika...
  12. Mto_Ngono

    Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    Embu wewe unayejua nijuze zaidi nami niwe kama wewe...
  13. Mto_Ngono

    Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    jaji mfawidhi, Asingeandika.. angeenda moja kwa moja kushtaki tu.. au anahitaji kujazia nyama kwenye mashtaka yake hivyo anakusanya maoni ya watu..
  14. Mto_Ngono

    Hivi ni nani aliyewadanganyeni kuwa ukimuhamisha ' Taahira ' toka Muhimbili Dar es Salaam ataenda ' Kuponea ' Bugando Mwanza?

    Hv quality ya mtu kama Sadney inahitajika Yanga!! Sidhani ila timu anayotakiwa kuichezea ni majimaji au biashara... Striker butu..
  15. Mto_Ngono

    ATCL yatengeneza faida ya $14M, yafuatayo yanasisimua

    Mwandishi umejipiga masterbation .. huonekan kuwa neutral
  16. Mto_Ngono

    ATCL yatengeneza faida ya $14M, yafuatayo yanasisimua

    Unajuaje mashirika mengine yanapata hasara?
  17. Mto_Ngono

    DC Mjema amjibu RC Paul Makonda

    Kazi yake ni kuhakikisha usalama wa wilaya na si kuchungulia katika makanisa kubaini idadi ya watu... Mungu mwenyewe anasema wakutanikapo wawili panatosha kuwa kanisa
  18. Mto_Ngono

    TRA: Atakayefichua wakwepa kodi atalipwa asilimia 3 ya kodi itakayokombolewa

    Hapo kwenye uwazi juu ya kubainika mmmmhhhh... unasubiri kujuzwa au unahusishwa kwenye mchakato wa kujiridhisha kuwa amekwepa kodi..
Back
Top Bottom