Search results

  1. Extraseen

    Je, ofisi yako inataka mtu wa uzoefu huu?

    Hopefull Mpo sawa.. Wandugu, bado natafuta wale mlio kuja inbox mkasalimu sija elewa pamoja na kuwasalimu back... siku wasikia tena.. kama mnazo kazi tusisauliane
  2. Extraseen

    Je, ofisi yako inataka mtu wa uzoefu huu?

    Kuna shida gani ndugu??
  3. Extraseen

    Je, ofisi yako inataka mtu wa uzoefu huu?

    WHY YOU SHOULD HIRE ME!!!? My Skills 1. Negotiational skills. 2.Client/Consumer management skills 3.Adobe Ilustrator Skills 4.Ms.Excel Applications 5.Ms. word Applications 6.Ms.Powerpoint applications 7.Report Writing skills 8.Presentations and Bargaining Skills 9.Event Planning and...
  4. Extraseen

    Je, ofisi yako inataka mtu wa uzoefu huu?

    Hello... Kumbe kuna watu wa Zambia wanasoma post huku.. nimempata mtu anaye vutiwa na CV ila imeshindikana kwenda Zambia kwa sababu ya Mambo yaliyopo nje ya uwezo wake na wangu.. Naomben Watanzania wenye Post za ujuzi wangu mnikumbuke..
  5. Extraseen

    Je, ofisi yako inataka mtu wa uzoefu huu?

    I AM AVAILABLE TO BE HIRED! A holder of Bachelor degree from UDSM, residing in Dar es Salaam, But is ready to be allocated anywhere, is looking for a new post. With over 8 yrs of Experiance in a field of Public Relations, Community Outreach, Communications, Advertising and Campaign, Marketing...
  6. Extraseen

    Office Supplies, Branding, Printing and Product Lebeling

    Mkuu nilikutafuta inbox hukurudi tena
  7. Extraseen

    Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

    Nope.. ata mm nafanya kazi kwenye biashara yangu.. ila huyu kanifuata kuitaji ushauri nikaona niuleta hapa na mm nijifunze mengine
  8. Extraseen

    Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

    Nimevutiwa na unavyo elezea njia za kupata wateja . Embu nishtue mbinu kadhaa tafadhali..maana nilisha hangaika mpaka nika acha kabisa maana ni ngumu sana kupata access to decision maker of company husika..blockage ni ngingi..
  9. Extraseen

    Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

    Hii mbinu ina tatizo la Kupata appointment watakwambia tuta kujibu.. kwa sasa hatu itaji , ooh tuna mtu tayari,nilisha jaribu sana, blocking inakuwa reception maana wana mpigia kifua mtu wao hivyo hawataki umfikie MD au DG.. balaa lingine kupata cotact ..nyngi online hazifanyi kazi
  10. Extraseen

    Je, unahitaji huduma hii katika eneo la kazi kuepuka adhabu za watu wa OSHA?

    Tuko mtaa wa viwanda .. Kilwa road.. kwa upande wa mashine zetu.. ila kwa marketing office tupo Mikocheni.. Kama una tu hitaji tupe appointment tukutembelee office kwako.. utuonyeshe eneo unalotaka kufanya branding au kuweka signboards.. maana hii ni field work muhimu kuona eneo ili tushauriane..
  11. Extraseen

    Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

    Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani.. Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd...
  12. Extraseen

    Naitaji Window 7 for my laptop

    Ram ya laptop yangu ni 2ram sasa ukiweka window ya juu ya W7 ina goma au ina fail kumalizia installation
  13. Extraseen

    Naitaji Window 7 for my laptop

    Najua bro.. issue kubwa kwangu laptop yangu yazamani sana naitumia home kwa shughuli ndogo ndogo. ina ram2 hivyo window 10 haikubali kuingia ndio maana najikuta napambana na window 7.. Kama weekend utakuwepo angalao nije uniweke ndugu..
  14. Extraseen

    Naitaji Window 7 for my laptop

    Habarini wana Jamii Naitaji kufanyiwa Installation ya window 7 Kupitia Flash au External Maana mlango wa laptop yangu ume haribika siwezi tumia CD room kwa Installation Kama una weza nifanyia installation kwa bei ya msaada niambie tunakutana vipi.. Mimi niko karibu na Mbuyuni njia ya kwenda...
  15. Extraseen

    Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Kama ulijua kesha fungiwa.. ana ambiwa miaka 10yote aliyokuwa akiendesha kanisa halikuwa na kibali wakati yeye ana vibali vya wizara kabisa..mwezi una isha sasahakuna ibada kanisa limefungwa.. Hakika dunia ina maajabu..ila ikibukwe viongozi hawakutubu na walipuputika kwanzia ile january tuli...
Back
Top Bottom