Je, ofisi yako inataka mtu wa uzoefu huu?

Extraseen

Senior Member
Feb 18, 2017
140
136
I AM AVAILABLE TO BE HIRED!

A holder of Bachelor degree from UDSM, residing in Dar es Salaam, But is ready to be allocated anywhere, is looking for a new post.

With over 8 yrs of Experiance in a field of Public Relations, Community Outreach, Communications, Advertising and Campaign, Marketing and Branding.

Free to be hired since January, 2024

WHY YOU SHOULD HIRE ME!!!

My Skills
1. Negotiational skills.
2.Client/Consumer management skills
3.Adobe Ilustrator Skills
4.Ms.Excel Applications
5.Ms. word Applications
6.Ms.Powerpoint applications
7.Report Writing skills
8.Presentations and Bargaining Skills
9.Event Planning and Management.
10.Copywriting
11.Interpretation skills.(Swahili and English)
12.Mobilizing and Monitoring Skills.
13.Service & Product testing, Segmantations and positioning to its niche(Market Testing)
14.Research Findings and Evaluations
15. B2B and B2C skills

Contact me at: 0714651666
 
Hello...
Kumbe kuna watu wa Zambia wanasoma post huku.. nimempata mtu anaye vutiwa na CV ila imeshindikana kwenda Zambia kwa sababu ya Mambo yaliyopo nje ya uwezo wake na wangu..

Naomben Watanzania wenye Post za ujuzi wangu mnikumbuke..
 
Mkuu iki kupendeza rekebisha Haya maneno.
For hired = to be hired
He is ready, una jizungumzia wewe sio mtu mwingine, so weka iwe Iam ready.
IS looking= iam looking.

I mean no malice to nobody
Umenena vyema mkuu japo na wewe ikikupendeza urekebishe hiyo "to nobody" iwe "to anybody" nadhani ndio sahihi, I stand to be corrected.
 
Umenena vyema mkuu japo na wewe ikikupendeza urekebishe hiyo "to nobody" iwe "to anybody" nadhani ndio sahihi, I stand to be corrected.
Yupo sawa. "To nobody" ni sahihi. Anybody ipo more specific. Akisema "to nobody" ni sawa na kusema "to no person". Literally anamaanisha hana shida na mtu yoyote.
AY 5225 nadhani jibu ume lipata Kaka, beside ma guru tuko wachache🤓
 
Yupo sawa. "To nobody" ni sahihi. Anybody ipo more specific. Akisema "to nobody" ni sawa na kusema "to no person". Literally anamaanisha hana shida na mtu yoyote.
Nadhani najua anachokimaanisha ila tu kwenye phrase hiyo haipo sawa kwakuwa katumia negatives mbili kwenye sentence moja i.e;
1. I mean "no" malice
2. to "nobody"

Unless ni slang, basi hayuko
sawa. Ila I don't know, this is me just thinking out loud.
 
Hello...
Kumbe kuna watu wa Zambia wanasoma post huku.. nimempata mtu anaye vutiwa na CV ila imeshindikana kwenda Zambia kwa sababu ya Mambo yaliyopo nje ya uwezo wake na wangu..

Naomben Watanzania wenye Post za ujuzi wangu mnikumbuke..
Una ujuzi gani
 
Yupo sawa. "To nobody" ni sahihi. Anybody ipo more specific. Akisema "to nobody" ni sawa na kusema "to no person". Literally anamaanisha hana shida na mtu yoyote.
Hayupo sawa.

'No malice to nobody' has two negatives 'No and nobody'.

And the above statement simply means he intends to harm somebody. Of which, that is not his meaning.
 
Una ujuzi gani
WHY YOU SHOULD HIRE ME!!!?

My Skills
1. Negotiational skills.
2.Client/Consumer management skills
3.Adobe Ilustrator Skills
4.Ms.Excel Applications
5.Ms. word Applications
6.Ms.Powerpoint applications
7.Report Writing skills
8.Presentations and Bargaining Skills
9.Event Planning and Management.
10.Copywriting
11.Interpretation skills.(Swahili and English)
12.Mobilizing and Monitoring Skills.
13.Service & Product testing, Segmantations and positioning to its niche(Market Testing)
14.Research Findings and Evaluations
 
Yupo sawa. "To nobody" ni sahihi. Anybody ipo more specific. Akisema "to nobody" ni sawa na kusema "to no person". Literally anamaanisha hana shida na mtu yoyote.

😂 Hivi vizungu vyenu bwana dah

Jana naibu waziri kasema Mabibi na Mabwana Good night haha alitaka kumaanisha good evening
 
Hopefull Mpo sawa..
Wandugu, bado natafuta wale mlio kuja inbox mkasalimu sija elewa pamoja na kuwasalimu back... siku wasikia tena.. kama mnazo kazi tusisauliane
 
Back
Top Bottom