pole sana mkuu. jaribu kwenda pharmacy kubwa kama J.D pale mlimani city au posta, Nakiete Mwenge, Manzese darajani kuna famasi moja kubwa hivi jina nimesahau, na nyingine ipo sinza kijiweni opposite delux hall. Nadhani hata kama hzo sehemu tajwa hawana, watakueleza wapi pa kuipata au hata kama...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing hii leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mh. January Makamba Ofisini kwa Waziri huyo Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo yao Balozi wa China...
wapendwa wanajamvi, nataka nipate kausafiri kidogo nimechoka vurugu za daladala. Kuna mtu kaniambia ataniuzia toyota PLATZ kwa sh 8mn/= Je platz ni gar nzur wapendwa na je bei ni rsonable?
Pia kuna mkuu mwingne anauza suzuki swift kwa 9.5 million, je hyo bei pia ni resonable?
nisaidieni...
Habari zenu wapendwa katika bwana. Jamani nina shda sana na anointing water kutoka SCOAN, kama yuko mtu ashawahi kwenda kwa T.B Joshua akapewa naomba anisaidie japo few drops I'll mix it with other water. Ninayo mambo mengi magumu ambayo nayapitia katka dunia hii, naaamini nikipata hayo maji...
Wildcard acha kutoa maneno machafu mdomoni mwako? Prophet T.B Joshua he is a real man of God, na me namuheshimu sna na hata nchini kwao wanamheshimu sana. Mwambie Mungu wako akusamehe kwa sababu usloljua ltakusumbua! Syo tapeli wala Muongo kama ulvyosema. Roho wa bwana akubariki.
Jamani,
Kuanzia January mpka leo napata period for two days. Na ni kidogo sio kama ilvyokuwa mwanzo. Je, ni kawaida? Mwanzoni nilikuwa napata for four days au siku nyingine siku tatu. I am scared, sjui ni hali ya kawaida au vipi. Wanawake wa JF na JF doctors please nisaidieni. Na hii...
Jamani mi napenda sna perfume, tena sana. I have many diffrnt prfumes in my wardrobe. My favourite ar
: 212 sex by Caro Herera
: Midnite fantansy by Britney Spear
: Glow after dark by J.lo
: Dior addict by Christian Dior
Na wewe nambie watumia nini, na ni lipi duka wauzalo perfume za...
Na ninaskia kuna wamama watu wazma walimfuata Vicky hospitali,wakamsihi sna akamuaqge mumewe kule motuary. But bidada akakataa kabsa kasema haend. S unajua kma mtu wako wa karibu aidha nmume au mke kafark na we pia waumwa lazma ukaage jamani. Haijlishi watembelea machela au lah. Vicky ahuska...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.