Msaada! napata period for two days ni kawaida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada! napata period for two days ni kawaida

Discussion in 'JF Doctor' started by mangoda, Jun 15, 2011.

 1. m

  mangoda Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Jamani,

  Kuanzia January mpka leo napata period for two days. Na ni kidogo sio kama ilvyokuwa mwanzo. Je, ni kawaida? Mwanzoni nilikuwa napata for four days au siku nyingine siku tatu. I am scared, sjui ni hali ya kawaida au vipi. Wanawake wa JF na JF doctors please nisaidieni. Na hii imeanza baada ya kuanza kutumia pads za Tasly, je, kuna connection yoyote kweli?
   
 2. MAENE

  MAENE Senior Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakushauri umwone daktari wa wanawake haraka.
   
 3. N

  Ngoswe11 Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je, umewahi kutumia vidonge vya kuzui mimba au kuchoma sindano za kuzuia mimba huko siku za nyuma? Mzunguko wako ni wa siku ngapi? 30, 28, 21 au?? Hebu fafanua hilo ili Doctor nifanye kazi yangu ipasavyo!
   
Loading...