Nataka nunua toyota platz ni gari nzuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka nunua toyota platz ni gari nzuri?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mangoda, Jul 22, 2011.

 1. m

  mangoda Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  wapendwa wanajamvi, nataka nipate kausafiri kidogo nimechoka vurugu za daladala. Kuna mtu kaniambia ataniuzia toyota PLATZ kwa sh 8mn/= Je platz ni gar nzur wapendwa na je bei ni rsonable?
  Pia kuna mkuu mwingne anauza suzuki swift kwa 9.5 million, je hyo bei pia ni resonable?
  nisaidieni wakuu kwa ushauri mana me mambo ya magari sina utaalam kbsa. mbarikiwe wote
   
 2. m

  muhanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  uzuri wa gari unategemeana na mtu binafsi mtazamo wake, uwezo wake wa mfuko, matumizi yake, maeneo anayokaa au anayotarajia kutembelea mara kwa mara n.k n.k. na kuh bei hebu acha uvivu nenda kazunguke kwenye show rooms za magri upate bei ya sokoni ndio ulinganishe na hizo zinazouzwa mikononi mwa watu.
   
Loading...