Search results

  1. The Amazon

    Ushauri kuhusu Mabati ya Taishan, Kinglion na Sunbank

    Nimetumia kinglion mwaka wa 2 sasa bado bati ziko poa.
  2. The Amazon

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hii ndio rahisi zaidi utakuwa umepunguza km nyingi tu kuliko kuzungukia chalinze. Moshi-Arusha-Babati-Kondoa-Dodoma-Mtera-Iringa-Mafinga-Makambako-Njombe unamalizia huko mbababay Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
  3. The Amazon

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah jamaa nimecheka sana...kama vile nakuona unavyotokomea kusikojulikana ha ha ha
  4. The Amazon

    Rafiki wa kike

    Rafiki wa kike anahitajika awe anaishi Iringa. Karibu PM. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. The Amazon

    Taja tabia ya Athuman hapa

    Mkuu huyu ndio yule Athumani kichwa wazi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. The Amazon

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Any one from Iringa....niko Miami nalipa kodi
  7. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hatimae kanji kala za uso Sent using Jamii Forums mobile app
  8. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada wa link ya betwinner plzz...nashindwa kudownload mobile app.
  9. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nimejaribu kudeposit kwa VISA card ya NBC nikapata ujumbe huu lkn pesa bado haijafika kwenye 1*bet acc. Wenye uzoefu huwa inachukua muda gani?
  10. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada jaman nataka kutoa pesa 1*bet ndio mara ya kwanza kutumia nikitoa napata ujumbe huu
  11. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada namba ya customer care premier bet Sent using Jamii Forums mobile app
  12. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu uko sawa kabisa inplay kuna pesa asee ila nako kunataka stake ya maana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu VIRTUAL inalipa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. The Amazon

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ni zaid ya bahati Sent using Jamii Forums mobile app
  15. The Amazon

    Mtama unahitajika

    Mkuu nategemea kuvuna zaidi ya gunia 500 next month,toa ofa yako per kilo,tunaweza fanya biashara.
  16. The Amazon

    Mtama mweupe.

    Ahsante sana mkuu,nitafanya ivo.
  17. The Amazon

    Mtama mweupe.

    Nategemea kuvuna mwezi wa nane mwanzoni shamba liko manyara mkuu.
Back
Top Bottom