Search results

  1. V

    Salasala barabara mbovu, Mbunge jimbo la Kawe uko wapi?

    Mbunge wa jimbo letu la Kawe hatukuoni wala kuwatembelea watu wako kuyajua yanayowasibu. Hata walioko chini yako ndani ya Serikali za mitaa na vitongoji vyake wamejikalia kimya utawaona na mashati ya kijani kutwa kucha. Barabara ya Salasala ni mashimo matupu mnaliwaziaje amkeni. Soma Makonda...
  2. V

    Soko la ndizi Mabibo hali hairidhishi. Halmashauri na Mkuu wa Mkoa mko wapi?

    Kuna hili siko la mandizi MABIBO! Linatia aibu. Je kweli mnakusanya ushauri? Na kama ndivyo zinaenda wapi? Hata mseme kulikarabati mnashindwa Nini? Vyakula vinauzwa kwenye tope kweli solo kubwa vile. Au ndio mtindo ule wa upigaji na kupoteza kwa pesa za Halmashauri. Maohusika na hili Soko...
  3. V

    Hivi yale magawio ya mashirika kwa Serikali kila mwaka yameisha wapi na zinaendanwapi kwa sasa?

    Hapo Nyuma wakati wa JPM aliweza kupata mabilioni kutoka Kwa mashirika yakiitwa gawio Kwa Serikali juu. Hivi tangu kutwaliwa hatujasikia hayo yakiendelea! Je ninyi Wakuu wa mashirika mmenyamaza kimya hiyo pesa mnaipeleka wapi Leo? Hamlioni kwamba hamtoshi kwenye hizo nafasi?! Waziri na Karibu...
  4. V

    #COVID19 Marekani yaondoa COVID 19 Test Kwa wanaoingia nchini mwao

    Hali ya COVID 19 Kwa kiwango kikubwa imeendelea kupungua. Na ndio maana wenye kukumbwa sana na janga hili wameendekea kutafiti na kuweka kumbukumbu mzuri zinazowasaidia kuwa na maamuzi. Kuanzia Sasa hakuna haha ya kuwa na COVID test results kuingia Amerika. Ukioenda waweza kujipimia lakini sio...
  5. V

    Kuna Mbuzi wanaozunguka mtaani. Halmashauri za Wilaya Mko wapi?

    Wadau huku barabarani nimekuwa maeneo ya Tangi bovu hadi Tegeta maeneo mengi utakuta mbuzi msururu na wengine kuvuka barabara ni hatarishi. Hivi wasimamizi na halmashauri mko wapi waaseni wenye mbuzi la si hivyo zishughulikieni na walipishwe faini.
  6. V

    Taswira mbaya.: Dar es Salaam maeneo mengi yamejaa magari mabovu

    Kumekuwepo na mrundikano mkubwa wa magari mabovu na yale yaliyopata ajali kandoni mwa barabara mfano ya Kwa Mtogole wilaya ya Kinondoni. Ni lini uongozi utatafiti maeneo maalumu ya kuyaweka hizo scrapers mahali maalum na kama kuna wahitaji wa vipuri kwenda huko kupata huduma. Tunapambana...
  7. V

    Hali ya Barabara ya Salasala kwenda Kinzudi ni hatari kwa watumiaji. Mbunge wa Kawe na Viongozi wa Serikali mitaa njooni Muondoe hii kero

    Naomba kutoa rai kwa Mbunge wa Kawe Mh. Sana Askofu Gwajima pamoja na wa Serikali za mitaa maeneo haya. Kuanzia eneo la Sema bar kuelekea magengeni hadi Kanisa Katoliki Salasala kwenda kinzudi. Kwa ujumla hili eneo.ni hatarishi na mvua zitakazoanza za masika tusahau usafiri eneo hili...
  8. V

    Wizara ya AFYA MKO wapi hali ya MAFUA MJINI tupeni neno au ndio wimbi la 5?

    Kuekuwepo na hali ya watu kuugua MAFUA kila kona ya mji yapata juma moja sasa. Lakini wizara ya afya imekuwa kama haipo. Hakuna kipimo hakuna neno ni nini hasa kinaendelea. Au mnasubiri mnaowaita mabeberu wakati pesa ya COVID-19 mshatia kibindoni. Waziri D. na jopo lako Tuelelezee tujue. Asante.
  9. V

    Ripoti ya uchunguzi Moto Soko la Kariakoo utawekwa wazi Lini??

    Wadau kama taarifa hii ilishatolewa/kuwekwa wazi huenda mie sikuiona. Waliopewa dhamana hii kwa wiki 2 nadhani ni miezi sasa imepita! Je? Nini kimeikumba timu hii au posho ya mkao ilishapita kama ilivyo desturi za kamati! Mheshimiwa Waziri Mkuu na Mkuu wa Mkoa tuwaombeni kujulishwa hili na huko...
  10. V

    Tume ya uchunguzi Moto Soko la Kariakoo mko wapi muda si ushawadia?

    Tulitarajia mh. Waziri Mkuu alishapokea Mrejesho wa hii tume! Hadi muda huu hatuna taarifa yeyote tuelewe nini? Hii tume ilikuwa funika kombe mwana haramu.... kama.ile ya benki kuu?? Kweli hii ndio TZ ya kusingizia magaidi wapo!? Mamilioni yalotolewa na mkuu Rais kuweka mabati soko la...
  11. V

    Olympics: Tanzania tunawakilisha kundi gani?

    Tanzania ni yetu tunaipenda ni yetu sote. Kombe la dunia limeshaanza limesheheni wanamichezo lukuki japo wengine wameibukia kuwa na positive covid 19 hivyo kuwanyima fursa hii njema. Swali shirikishi sisi kama Tanzania tuko Kundi gani? Nimewaona ndugu zetu Malawi, Madagascar mzee wajalala...
  12. V

    Watangazaji wa Redio hasa wasomaji wa magazeti pateni mfano wa watangazaji wa Redio Maria

    Wadau na wasikilizaji wa habari. Nimekuwa msikilizaji wa hasa kwenye kipindi za yaliyokujia magazetini. Ni jambo linalotiashiria kutokuwa na watangazaji/wasomaji makini. Au kwa namna nyingine hawakusoma kiswahili fasaha wanakuwa kama wageni wasiojua Kiswahili. Mfano tu wa wasomaji wa Mkatavi...
  13. V

    Uwanja wa Ndege Mpya. Mipango ilianza mwaka gani?

    Wana JF na wajuzi wa mambo naomba tuelimishane hapa kuhusu uwanja mpya utakaokuwa terminal 3 unaotarajiwa kufunguliwa karibuni na kuipaisha JK yetu. Je ni lini/mwaka gani mazungumzo au mkataba huu ulianza? Napata picha ya muda mrefu sana wananchi waliokuwa wanaishi Kipawa waliamriwa kuhama na...
  14. V

    Elimu yetu: Hivi wabunge na Serikali wana lengo thabiti la kuwasaidia wananchi?!

    Leo hii nimekuwa nasikiliza taarifa ya habari na kusikia eti shule moja huko Ruvuma wanafunzi hawana bwalo la kula chakula! Kweli au mautani?!?! Nilishangaa kuona picha hiyo. Hivi kweli posho ya wabunge kwa siku moja tuu achilia wiki moja wangelikuwa na uchungu wa wanakotoka wakishirikiana na...
  15. V

    Helkopta, magari ya Zimamoto mangapi tuliyonayo karne hii ya uchumi wa Viwanda?

    Nimekuwa nawaza katika kuendelea kufanya mambo makubwa na ya kuinua uchumi wa chini walau basi kufikia wa kati! Tumekuwa na matukio mengi ya hapa na pale ambayo kwa ujumla wake ili kufikiwa haraka na kuendana na barabara zetu, Je ni Helicopter ngapi ziko nchini mwetu kwa huduma za haraka na...
Back
Top Bottom