#COVID19 Marekani yaondoa COVID 19 Test Kwa wanaoingia nchini mwao

Vyura99tu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
1,641
1,747
Hali ya COVID 19 Kwa kiwango kikubwa imeendelea kupungua. Na ndio maana wenye kukumbwa sana na janga hili wameendekea kutafiti na kuweka kumbukumbu mzuri zinazowasaidia kuwa na maamuzi.

Kuanzia Sasa hakuna haha ya kuwa na COVID test results kuingia Amerika. Ukioenda waweza kujipimia lakini sio lazima.

Nadhani ifike wakati Sasa nchi yetu pendwa isiendelee kuwakamua wasafiri Kwa ulazima wa kupima.

Atakayepebda Kwa maamuzi yake mwenyewe afanye lakini sio kulazimishana kwani hata Wizard husika haitoi takwimu!!
 
Mbona jana hapa TZ mmejifanya kutoa takwim kwamba maambukizi yanaongezeka? Ona sasa mnavyoumbuliwa na wafadhili wenu, sasa muache kuvaa mibarakoa
 
Back
Top Bottom