Search results

  1. Bechu

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Yaan mtaji wa milion 3 kwa mwezi unapata faida laki mbili. Hiyo sio biashara broo. Unatumia pesa yako kuwaajiria wengine. Sifanyi biashara kichaa kama hiyo. Si bora ninunue ubber Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bechu

    Chumba, sebule jiko na choo ndani kwa bei poa

    Miez mitatu vipi anachukua
  3. Bechu

    Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

    WAKIWEKA na startimes mnishtue aisee.
  4. Bechu

    Watu wa Kagera mnaishije? Hali ni ngumu sana huu mkoa

    we jamaa vyovyote utakuwa msukuma. SASA unataka kulipandisha kabila lako lionekane lipo juu. ULICHOKIONGELEA hata sjakielewa eti mkoa biashara hamna kabisa zimedorora. HAPO hapo unasema hakuna wahaya wenye maduka et maduka wanayo wasukuma na muha. MBONA huo mfano hujautoa dar es salaam na wakat...
  5. Bechu

    Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

    Wakupime mkojo wewe sio bure. Watu wanatafuta hata hiyo kazi wafanye hata waambiwe wafanye kazi wamewabeba mabos wao migongoni lakin hawaipati. Et wewe huitaki kazi kisa huna peace ov mind. Nikushauri sasa. Hiyo kazi kwanza iache ndo uanze kutafuta nyengine
  6. Bechu

    Clouds fm ndo radio bora hapa Bongo

    Inakuja diamond fm na tv itafunika zote. Namuaminia kijana kwa ubunifu
  7. Bechu

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Duh! Toka mwaka uanze post ya kijinga nloiona hiiii! Sasa kama hujui shughuli za kiuchumi ndo sehem ambayo watu wanakwamuana bure kabisa, anaweza nikopa elimu nkaja kumrudishia badae nkishaanza biashara,
  8. Bechu

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Magufuli kuongoza tanzania ni dalili nyengine ya kuwepo mungu muumba wa mbingu na ardhi, na vitu vyote vilivyomo
  9. Bechu

    Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    Ngoja waje wataalamu waelezee mie ntapuyanga tu
  10. Bechu

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Jiangalie wewe mwenyewe ulivo toka kichwani hadi mguuni, ni dalili tosha kuwa there is exitence ov god
  11. Bechu

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Sawa upo sahihi, ila kiukweli forex nibkitu kipya bongo, na maisha ya sasa yamekuwa magum, sasa vijana wenzetu mnaingiza faida kubwa kias hicho kwa nn mtucharg pesa kubwa ya training. Mgesema hata ef 50 jaman, sio laki mbili mtatuua.
  12. Bechu

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Nisaidie unielekeze bab nmesoma vitab kias lakin nahitaji elekezwa
  13. Bechu

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Pale ada kubw bab, 200k usawa huu unaipata wap aisee, mie nmejaribu kusoma soma vitabu kias fulani nna mwanga, nielekeze ulipo nije unipe kidogo ya face to face
  14. Bechu

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Nipo zangu nasoma vitabu vya forex na nlikuwa na moto balaa, ila we jamaaa umenirudisha nyuma aisee wakat nlikuwa nshaamua liwalo na liwe na mie lazima niingie, umepeperusha mawazo yangu
  15. Bechu

    Aibu ya kutupwa mwanaume kulalamika huna hela mpaka unashindwa kuendesha familia

    Hivi watu kama nyinyi kweli mpo kwenu mlikojenga wenyewe au mmepanga vyumba mjini mnalipa kodi? Af bado unapata uwezo wa kuongea maneno kama hayo? Au ndo nyie wauza ngada
  16. Bechu

    Kama leo hii CHADEMA wangeshika nchi sijui ingekuwa kwenye hali gani!?

    Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria.
  17. Bechu

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Aiseeee, mambo magum sana, jaribuni kupunguza gharama hizo za kufundisha, lengo ni kukwamuana kiuchumi sio kukusanya pesa, binafsi hali yangu kwa sasa sio nzuri nmejitahid kusoma vitabu, ila nahis nahitaj maelekezo kias ili nijiunge
Back
Top Bottom