Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Jaman tulioko dsm, wale wanaoifahamu vizuri forex na wanaweza kutrade wenyewe tusaidieni na sisi tunaoanza, mimi nipo tayar kujiunga na nmesoma soma baadh ya vitabu, ila nipate mtu wa kunielekeza kwanza nielewe. Tusaidiane pls
 
20a53e888bd124cfb6be8a9f6b5058d4.jpg
 
Aiseeee, mambo magum sana, jaribuni kupunguza gharama hizo za kufundisha, lengo ni kukwamuana kiuchumi sio kukusanya pesa, binafsi hali yangu kwa sasa sio nzuri nmejitahid kusoma vitabu, ila nahis nahitaj maelekezo kias ili nijiunge
 
mkuu soma vitabu tu kama unaona training ni gharama.
 
Aiseeee, mambo magum sana, jaribuni kupunguza gharama hizo za kufundisha, lengo ni kukwamuana kiuchumi sio kukusanya pesa, binafsi hali yangu kwa sasa sio nzuri nmejitahid kusoma vitabu, ila nahis nahitaj maelekezo kias ili nijiunge
Sasa ndugu unataka jamaa wakukwamue kwenye mkwamo wa uchumi bure? Kwa gharama zao?
Kwanini usiililie serikali kulikoni kuwalilia hawa watafutaji kama wewe?
Jipe moyo pambana utaweza kuhudhuria
 
Duh! Toka mwaka uanze post ya kijinga nloiona hiiii! Sasa kama hujui shughuli za kiuchumi ndo sehem ambayo watu wanakwamuana bure kabisa, anaweza nikopa elimu nkaja kumrudishia badae nkishaanza biashara,
 
Acha kulia lia mtoto wa kiume..elimu haikopeshwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom