Search results

  1. chemistryj

    Tekno Y6

    Camera inasumbua inaniambia "turn on camera access"
  2. chemistryj

    Msaada unahitajika

    PC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve
  3. chemistryj

    Kwa wajuzi wa blog na website

    Ukitaka kufungua blog lazima ulipie domain name na web hosting kwa wale ndo kwanza wanaanza kujikita katika tasnia hiyo vipi utalipia. Naomba kuwasilisha !!!
  4. chemistryj

    Kutumia social network katika kompyuta

    Kwa anaejua VIPI nitatumia fb,WhatsApp na nyenginezo kupitia PC yangu. Msaada
  5. chemistryj

    Msaada: Nashindwa kuhamisha ma-file kutoka kwenye simu kwenda kwenye PC

    Natumia simu aina ya Lenovo Lenovo A6000 Version 4.4.4 Baada ya kudownload movie au vitu vyengine wakati wa kutaka kuvihamishia katika PC kwa kutumia simu tajwa halo juu zoezi linakua gumu na limeshindikana kutumia USB ,hata hivyo simu inasoma nimeifanyia installation na icon inaonekana katika...
  6. chemistryj

    Binadamu waaminifu waliishia zama zipi.

    Katika dunia ya sasa imezoeleka kua kila binadam anajiona kua yupo sahihi na ikitokea kua anamuamini mwenziwe basi kwa kiwango kidogo . Kwani siku za sasa ipo tabia hata ukitokewa na shida hafla hela hata nduguyo atakwambia hana kwa kua kua tu hakuamini. Tujuzane kwa anaejua uaminifu na upendo...
  7. chemistryj

    Ufanyeje mkeo wa ndoa ameondoka kwenda kwao halafu hataki kurudi kwako?

    Wana jamvi, Nilimpa rukhsa mke wangu ya kwenda kwao kwa ajili ya matibabu, mwisho wa mchezo kakataa kurudi nyumbani na matusi pamoja na kashfa imekua ndo malipo yangu. Wakati ukiangalia alikua hana shida na kitu, nimejitahidi kama mwanaume ili kumtimizia mahitaji ya ndani na ya nje la...
Back
Top Bottom