Msaada: Nashindwa kuhamisha ma-file kutoka kwenye simu kwenda kwenye PC

chemistryj

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
238
147
Natumia simu aina ya Lenovo
Lenovo A6000
Version 4.4.4
Baada ya kudownload movie au vitu vyengine wakati wa kutaka kuvihamishia katika PC kwa kutumia simu tajwa halo juu zoezi linakua gumu na limeshindikana kutumia USB ,hata hivyo simu inasoma nimeifanyia installation na icon inaonekana katika PC ila ukifungua huoni chochote baada ya madude ya ajabu.
Anaejua anisaidie
 
Nilipata tatizo kama lako. Embu right click hiyo icon inayotokea. Kisha open device and printers, halafu utaikuta device yako huko kisha right click halafu troubleshoot. Iache idetect missing driver ikimaliza itakupa option mbili, moja apply this fix nyingine skip this fix. Wewe apply this fix. Itasearch kisha itainistall driver. Nivizuri uwe umekonect internet wakati wa kusearch driver.
Mimi natumia windows 8.1 ndo nilifanikiwa kwa njia hiyo.
 
Back
Top Bottom