chemistryj
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 238
- 148
Kwa anaejua VIPI nitatumia fb,WhatsApp na nyenginezo kupitia PC yangu.
Msaada
Msaada
Whatsapp ya pc ipo. Search google, facebook tumia web likadhlika instagram. Bluestack sikushauri kama ram yako ni ndogo. Inasababisha pc kuwa nzito.Kwa anaejua VIPI nitatumia fb,WhatsApp na nyenginezo kupitia PC yangu.
Msaada
kwani huwa unatumia device gani mkuu,watu miaka kenda tulishaacha kutumia smartphones!Kwa anaejua VIPI nitatumia fb,WhatsApp na nyenginezo kupitia PC yangu.
Msaada
Ni kweli kabisa ila unaweza kuichakachua ram yake ikawa 1024 na ikapiga kazi vizuri. MM huwa natumia njia hii ya kuchakachuaWhatsapp ya pc ipo. Search google, facebook tumia web likadhlika instagram. Bluestack sikushauri kama ram yako ni ndogo. Inasababisha pc kuwa nzito.
Kwa hiyo ram bluestack haikufai.RAM yangu no 2gb
Mr hauchakachui ram ya computer ila unaichakachua yenyew bluestack.RAM yangu no 2gb