Search results

  1. M

    Wadau naomba kuuliza swali

    Mtu aliyesoma deploma ya phamarcy anaruhusiwa kufungua pharmacy naomba msaada wa jibu
  2. M

    Wadau naomba msaada vyuo vinavyotoa taaluma pharmacy ya mwaka moja

    Wadau nilikuwa kutajiwa vyuo vinavyotoa pharmacy ya mwaka moja
  3. M

    Wadau natafuta soko la choroko na dengu

    Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo
  4. M

    Msaada: Nataka kufungua duka la mahitaji mbalimbali

    Wadau, Mimi ninamtaji wa milioni tatu nataka kufungua duka kubwa la mahitaji ya mwanadamu kama chakula na vitu mwingine. Naomba ushauri
  5. M

    Ushauri kwa ufaulu huu unaweza kusoma kozi gani?

    Naomba ushauri, Dada yangu anaufaulu huu hapa; Physics D Chemistry C Biology D Mengine yaliyobaki F Ushauri jamani comment zenu sio matusi kama huna ushauri soma pita
  6. M

    Wadau naomba kuliza zile prediction za mechi za jamii form wazee kubet

    Naomba kusaidiwa zile prediction za mpira zipo thread ngani
  7. M

    Aliye soma nursing ya mwaka moja anaweza kusoma certificate ya nursing ya miaka 2

    Wadau habari na mdogo wangu kasoma nursing ya mwaka moja anaweza soma certificate ya nursing mwaka moja matokeo yakidato cha nne physics D biologyD chemistry C mengine F anaweza akaomba nacte akapata akitumia cheti chake cha nursing mwaka moja na matokeo take ya kidato cha nne
  8. M

    Msaada duka la nafaka

    Naomba orodha ya vyakula vinatumuka kwa wingi na mzunguko wake in mzuri naomba msaada jamani
  9. M

    Msaada jamani

    Ninamdogo wangu amemaliza nursing ya mwaka moja anaweza akasoma certificate ya nursing amesoma masomo yafuatayo physics D chemistry C biology D mengine alipata F ila nacte wanataka passe D 4 katika masomo matatu ya sanyansi yenye anazo tatu naomba ushauri wenu
Back
Top Bottom