mussa christopher
Member
- Jan 4, 2017
- 16
- 4
Ninamdogo wangu amemaliza nursing ya mwaka moja anaweza akasoma certificate ya nursing amesoma masomo yafuatayo physics D chemistry C biology D mengine alipata F ila nacte wanataka passe D 4 katika masomo matatu ya sanyansi yenye anazo tatu naomba ushauri wenu